Vodacom Tanzania; Hii jeuri ya kibiashara mnaitoa wapi?

Vodacom Tanzania; Hii jeuri ya kibiashara mnaitoa wapi?

Hii inakera sana wakuu, kisa kikubwa ni wanajidai kua na wateja wengi ila kuanzia sasa hii chip yao itakaa kama diagram ktk simu yangu, hawawezi kutufafanya kama wakimbizi flani
 
Hii mbona hata tigo wameshafanya. Haya nafikiri ni maelekezo ya TCRA. tigo walituma sms wataanza tareh 10. Nafikiri kuna kodi fulani wamepandishiwa kimya kimya. Kama mmestudy vizuri sikuhizi hakuna ushindani wa bei kama ilivyokuwa mwanzo. Walivyo amua mb ziwe 8 makampuni yote yalifanya hiyo. Mchawi wetu ni TCRA.
 
Ngoja Halotel ikomae tuamie kule kwakweli. Hivi inawezekana tukiweka mgomo nchi nzima kutumia voda?
 
Kiukweli hii company ya Vodacom ni hovyo kweli itanibidi nifanye mahaamz mazto kubadili lain kwa matumiz ya internent na maongez mtu tulianza na dakika 20 500 mitandao yote now 649 unapata dakika 10 na 3mb kweli huu ni wizi wa mchana kweli Huduma za bure na zenyewe now zinalipiwa sh
100 unaweza kutuma pesa wasikutumie mssg ili mlad uwapigie wakukate pesa ili kuongea na mtoa Huduma kwa Wateja kiukwel mkuu hii inatutesa sana kama ndo matumiz ya smart phone ni hatari sana nawakilisha
 
ndio kampun ya mzee wenu anayewalaghai eti anauchukia umaskin wakat huo anawala kama kupe
 
Wakuu

Mimi Naomba Niweke Kando Vuguvugu Hili La Siasa Nizungumze Na Maslah Ya Watu Na Taifa Kwa Ujumla Wake

Jamani Hii Kampuni Ya Vodacom Ni Kampuni Kubwa Ina Wateja Takrban 9mls Nchini

Lakini Cha Ajabu Wanafanya Biashara Ya Ukiritimba Kupita Kiasi Jana Niliunga Kifurushi Cha Mia Tano Nikapata Dk.15 Leo Naunga Kifurush Hichohicho Napata Dk.14 Wamepandisha Bei Lini Wamemtaarifu Nani Na Ni Nani Yuko Nyuma Yao

Wameongeza kwa sababu ya kugawa peremende za uchaguzi maana Fisadi ooops Jambazi Sugu linaendelea kugawa peremende ambazo wana Chadema wanaendelea kulambalamba na zingine Mbowe kahamishia nje. Lakini hali itarudi J3 wakati peremende sitakapositishwa.
 
Ndio tunapotakiwa tuanze kupenda cha kwetu. Tuhamie Tanzatel(TTCL) kwa mkupuo ili Serikali ijue tumechoka ilazimike kuiboresha zaidi. Tujifunze kutoka kwa Wakorea ya kusini. Cha kwako kwanza.
 
Back
Top Bottom