vodacom speed

vodacom speed

deojames

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
415
Reaction score
208
Wadau hivi ninyi huko speed ya vodacom 3g ikoje? maana mimi kwa siku kama nne hivi speed ni slow vibaya most of the time napata 10KB/s or less.
 
basi itakuwa ni huku kwangu wameni slow speed, ngoja niwaendee hewani.
 
Kaka angalia kama unapata network ya 3g ktk area yako ama Egde? Kama ni Edge basi hata hyo 10kbps ur lucky, If kama ni 3g basi angalia bandwith uliyo jisajili inaweza ikawa imekulimit. Au vile vile 3g inaweza ikawepo lakini taa ya modem ikawa na rangi ya blue ya kungaa utadhani modem haitumiki ila ipo connected,hii inasababishwa na weather au location. Blue yenye speed ni ile kama kwenye kitufe cha HOme cha jamii forum. Halafu Edge taa yake ni Kijani ndugu.
 
Siyo kwa sababu ya mkonga wa Kukatika? Hata mimi kwa siku 5 sasa spidi ni hovyo!
 
Kila bundle na speed yake mfano kama umeeka bomba7 unapewa mb750 kwa speed kubwa zikiisha wanapunguza speed.

bomba7 niliweka jp ila hata kabla ya hapo (after j5) nilikuwa ninatumia proxy ila speed ilikuwa ni slow sana.
 
come on guys?? speed vodacom?? trust me, me niko huku hme, downloading speed inaenda mpaka 700kb/sec using IDM,vodacom ni bomba kuliko airtell, tigo, iam not so sure about zantel kwa kuwa cost zao ni kubwa, so cjawahi tumia internet yao hasa for downloading purpose. labda uko location cyo wangu
 
Unatumia modem gani? Hz za vodafone zle nyeupe nyembamba?
 
Back
Top Bottom