Mkuu mimi ninatumia simu ya tochi lakini hawa jamaa wanakula tu.tatizo ni smartphones Unatakiwa unapojiunga hakikisha data Iko off
naunga mkono na mguu hii mada,nilikuwa nakatwa hadi nahisi kuchanganyikiwa,nilipowauliza wakaniambia kuna namba ya tigo huwa naipigia,nikajua ni waongo tu,kwa sababu mimi huwa nawapigia watu wa voda kwa voda na wa tigo kwa tigo,nina handset mbili,nikawabana wanipe hiyo namba ya tigo ninayoipigiaga,mwisho wa siku wanakuja kunitajia namba yangu ya tigo,walivyoona nimewakamata hapo,wakasema niko karibu na mnara wa nje ya nchi kitu ambacho hakiniingii akilini,nikawaambia nyie ni wezi tu,nachofanya sasa ivi naweka ela mpesa,nanunua salio kutoka mpesa kiasi nachokitumia na kuisha saa hiyohiyo,wakitaka kuiba wanakuta 0.00,wanaweza kukugombanisha hata na watu unaoishi nao,maana unalala na muda wa maongezi,ukiamka hamna kitu
m-pawa ya voda vipi? - saccos unakopa mara 3 hivi ya hela ulizo save nao lakini m-pawa unakopa 30% ya hela zako unazo save na kulipia riba ya mkopo!!! cheza na vodacom!!
na nyie waibieni...siyo kulalama kila siku!!
dah pole mm ndyo maumivu hayo sana tu yaani nmwkuwa shamba la bibi kwa voda
Kaje visiku vya nyokwe. Sisi tunaumia wewe unaleta sera mbovu za ccm hapa ? au kwasababu Voda ni ya watu wa ccm
voda nuksi kweli...
kesho sijui mtaniibia bei gani
Voda kwangu wamewekeza hivi: Najiunga kifurushi cha sh 649 mara ya kwanza kimyaa, hawarudishi message wala hawakati salio. Napiga tena kujaribu kujiunga mara ya pili, napo kimyaa na salio hawakati kabisaaa. Nasema ngoja nijaribu mara ya mwisho, napiga namba ya kujiunga mara ya tatu napo kimya kidogo kinapita. Baada ya dakika takribani tano zinaingia message wameniunganisha mara zote tatu na wamekula pesa zote 649x3! Yaani hadi najiunga tigo peke yake sasa
naunga mkono na mguu hii mada,nilikuwa nakatwa hadi nahisi kuchanganyikiwa,nilipowauliza wakaniambia kuna namba ya tigo huwa naipigia,nikajua ni waongo tu,kwa sababu mimi huwa nawapigia watu wa voda kwa voda na wa tigo kwa tigo,nina handset mbili,nikawabana wanipe hiyo namba ya tigo ninayoipigiaga,mwisho wa siku wanakuja kunitajia namba yangu ya tigo,walivyoona nimewakamata hapo,wakasema niko karibu na mnara wa nje ya nchi kitu ambacho hakiniingii akilini,nikawaambia nyie ni wezi tu,nachofanya sasa ivi naweka ela mpesa,nanunua salio kutoka mpesa kiasi nachokitumia na kuisha saa hiyohiyo,wakitaka kuiba wanakuta 0.00,wanaweza kukugombanisha hata na watu unaoishi nao,maana unalala na muda wa maongezi,ukiamka hamna kitu
Mkuu mimi ninatumia simu ya tochi lakini hawa jamaa wanakula tu.