Kuna siku niliweka pesa 1500 nikajiunga kifurushi cha tigo(saizi yako) sms ikarudi kuwa nimeunganisha dk,mb na sms kwa wiki nikaanza kupiga simu kama dk 6 ikakata nikajua mtandao kupiga naambiwa sina salio la kutosha,,ikanibidi niangalie kifurushi nakuta hamna kuwapigia kuwaeleza kuwa nimejiunga na sms wamenirudishia walikataa kata kata kwahiyo mitandao yote wanazingua ila voda ndo vichaa zaidi huduma zao ghali na mbovuWezi haswaaaa..... Na ukiwapigia cm hawana Cha maana Cha kukusaidia.... Hi tabia yao ya kukata salio kidogo kidogo nliamuaga kutokuweka salio la kawaida kwa cm nlikia naweka mpesa tuuu Sasa,,, Sasa ivi hata mpesa cweki TENAAA .... Najua mimi mmoja tuu nikiwahama hawapati hasara yoyote lakn ndo tayar washampoteza mteja ivyooo
Wanajifanya hawaon hii yako ni thread ya 3 naona wameanzishiwa hukuFanya chaaaap mkuu wabaki wao wafanyakazi wao na mawakala wao tuuu basy
Bora uliweke kwa mpesa ununue salio kwa mpesa..... Ila wahame tuuu yanini kukaa na majiziii yaan voda Hadi tuzo points wanaiba waliiba kwangu Mimi hapa alafu wakajidai Ni tatizo la mtandaoKwakweli hili la kukata salio kimyakimya linashangaza sana,kuanzia leo siweki salio tena,
Me too my day will be.......Me furahi kukuona.
Hope my day will be.....
Ndo nataka niende baada ya kukuona sasa.Me too my day will be.......
Hatuendi porini leo?
Yaani hao Ttcl nao ndo wameoza kabisaaa ingawa walikuja kwa kasi..... Ukiwa na tatizo ukiwapigia cm huduma kwa wateja wanapokea wanakusikiliza alafu hawatekelezi ng'o Mimi Ni shahidi wa hili na ukijaribu kupiga tena hau unganishwi na customer care wao TENAAA..... Na pesa kwenye Ttcl pesa ( wao wanaita T pesa) haitoki nashindwa kununua nayo salio Wala siwezi kuihamisha kwenda popote na mpaka saa hi bado ipo ukiwapigia cm hawana majibu ya kuridhishaTena ukienda mikoani hautaki hata tumia voda: kuna sehemu nilikuwa yani kwa siku natumia 2000 afu napata MB 200.
Nikajihamia zangu tigo, na wiki mbili sasa
Japo nao wwkizingua naenda nyumban TTCL
[emoji137][emoji137][emoji846]Ndo nataka niende baada ya kukuona sasa.
Mi nikuage baadae jioni kisura.
Ooooh saa zingine Kama una mda wafungie Safari kabisaaa as long as iyo sms ya kuunganishwa unayo na ukifika office zao omba kuonana na boss wao wa hapo kabisaaa.... Ukishasikilizwa dai na gharama zako za nauli shwainiii kabisaaaKuna siku niliweka pesa 1500 nikajiunga kifurushi cha tigo(saizi yako) sms ikarudi kuwa nimeunganisha dk,mb na sms kwa wiki nikaanza kupiga simu kama dk 6 ikakata nikajua mtandao kupiga naambiwa sina salio la kutosha,,ikanibidi niangalie kifurushi nakuta hamna kuwapigia kuwaeleza kuwa nimejiunga na sms wamenirudishia walikataa kata kata kwahiyo mitandao yote wanazingua ila voda ndo vichaa zaidi huduma zao ghali na mbovu
😂😂😂😂😂 madenti sioOffer yao ya dar super uni sikuhizi hawana.
Wanapendelea dar hawa majamaa.
Size yako ya tigo ni kiboko.
Kwa laini ya chuo ila, maana maisha aya inabidi tuwe wanafunzi wa chuo tu sasa
jichanganye kupiga simu moja tu bila bando ikipokelewa na kukatwa hapo hapo ujue akaunti itabaki na tsh.2Mimi Nina elfu mbili kwenye salio na bando la data nilikua nimejiunga na bado lipo lakini naona kila Siku wanakata mia,Jana ikabaki 1,900 Leo asubuhi imebaki 1,800 hawa jamaa ni wezi kweli aisee
Ooooh saa zingine Kama una mda wafungie Safari kabisaaa as long as iyo sms ya kuunganishwa unayo na ukifika office zao omba kuonana na boss wao wa hapo kabisaaa.... Ukishasikilizwa dai na gharama zako za nauli shwainiii kabisaaa
Jana nimeweka vocha ya tsh 2499 nikajiunga hicho kifurushi cha siku saba nipate dakika 30.
Ukweli nilitumia dakika 3 tu nikaishiwa
Ndio hivyo,Hapa nataka nijiunge na kifurushi tu hata kama bado hakijaisha maana nitakula hasarajichanganye kupiga simu moja tu bila bando ikipokelewa na kukatwa hapo hapo ujue akaunti itabaki na tsh.2
Bora uliweke kwa mpesa ununue salio kwa mpesa..... Ila wahame tuuu yanini kukaa na majiziii yaan voda Hadi tuzo points wanaiba waliiba kwangu Mimi hapa alafu wakajidai Ni tatizo la mtandao