Tigo nna line ya chuo..... Na tigo nao wakizingua nawahama vile vile.....Offer yao ya dar super uni sikuhizi hawana.
Wanapendelea dar hawa majamaa.
Size yako ya tigo ni kiboko.
Kwa laini ya chuo ila, maana maisha aya inabidi tuwe wanafunzi wa chuo tu sasa
Ndio raha ya soko huruTigo nna line ya chuo..... Na tigo nao wakizingua nawahama vile vile.....
Ashukuriwe Mungu watoa huduma wa mitandao ya cm wapo wengi ingekua Kuna mtoa huduma mmoja tungekoma
Wezi haswaaaa..... Na ukiwapigia cm hawana Cha maana Cha kukusaidia.... Hi tabia yao ya kukata salio kidogo kidogo nliamuaga kutokuweka salio la kawaida kwa cm nlikia naweka mpesa tuuu Sasa,,, Sasa ivi hata mpesa cweki TENAAA .... Najua mimi mmoja tuu nikiwahama hawapati hasara yoyote lakn ndo tayar washampoteza mteja ivyoooMimi Nina elfu mbili kwenye salio na bando la data nilikua nimejiunga na bado lipo lakini naona kila Siku wanakata mia,Jana ikabaki 1,900 Leo asubuhi imebaki 1,800 hawa jamaa ni wezi kweli aisee
Sio dada mimi pia nawahama hawa wanatuonea sanaHahahaha uyu Ni mfanyakazi wa Voda Nini??
Haha haha Inna njoo ujibu mashtaka ya mtandao wenuHahahaha uyu Ni mfanyakazi wa Voda Nini??
Wezi haswaaaa..... Na ukiwapigia cm hawana Cha maana Cha kukusaidia.... Hi tabia yao ya kukata salio kidogo kidogo nliamuaga kutokuweka salio la kawaida kwa cm nlikia naweka mpesa tuuu Sasa,,, Sasa ivi hata mpesa cweki TENAAA .... Najua mimi mmoja tuu nikiwahama hawapati hasara yoyote lakn ndo tayar washampoteza mteja ivyooo
Niko poa Mimi kisuraNakusalimu mimi handsomeboy wangu..pole kwa kipigo cha jana
Usingizi ulinkaba hatari nimekuja kusikiliza matokeo asbh hiiNiko poa Mimi kisura
Japo nimenuna: uliondoka kimya kimya jana
Tena ukienda mikoani hautaki hata tumia voda: kuna sehemu nilikuwa yani kwa siku natumia 2000 afu napata MB 200.Voda wana njaa sana sijui wanafidia ile pesa waliyotoa kwenye kesi yao!!?
Me furahi kukuona.Usingizi ulinkaba hatari nimekuja kusikiliza matokeo asbh hii
Turudi nyumbani kumenoga ttclTena ukienda mikoani hautaki hata tumia voda: kuna sehemu nilikuwa yani kwa siku natumia 2000 afu napata MB 200.
Nikajihamia zangu tigo, na wiki mbili sasa
Japo nao wwkizingua naenda nyumban TTCL