Vodacom ni wezi wa airtime

Vodacom ni wezi wa airtime

nkosikazi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2010
Posts
361
Reaction score
337
Ukilipia cheka bombastik ya dakika 25 you can hardly get 5 or 6 minutes. Maybe less. Soon najiondoa huku. Hatuwezi kudanganywa kila mahali
 
Ni kweli kabisa mimi niliweka cheka bombastick ya 2,000 nikapewa 70 dakika. Nimeongea dakika 20 wanasema imekwisha!!
 
Wapuuzi sana hawa jamaa tena usipige simu kuanzia saa 17 jioni ni balaa wanakata kweli kweli.
 
Hiyo ipo wazi.
Unaweza kununua bundle ya mwezi lakini utastaajabu salio bado linakatwa.
 
Ushauri.
Ukitaka kutumia bundle za Voda hakikisha simu haina salio baada ya kununua bundle.
Kama una salio ujue salio lako litaliwa lote
 
Wasipojirekebisha tutawakimbia. Kama mpango wao ndo huo wa kutuibia waziwazi wajue watakimbiwa na wateja. Shame to vodacom!! Ulikuwa ni mtandao niliokuwa nauamini toka 2001 sijajiunga na mtandao mwingine lakini wakiendelea na hii tabia watakimbiwa
 
Ushauri.
Ukitaka kutumia bundle za Voda hakikisha simu haina salio baada ya kununua bundle.
Kama una salio ujue salio lako litaliwa lote

Ni kweli kabisa, jamaa wanakata hela yote, dakika waanazodai kutoa ukipiga dk chache tu zinaisha.
 
Duh wenzao wanaimplement kauli mbiu hakatwi mtu hapa!!! Wao ndio kwanza anakatwa mtu hapaaa tena kikatili
 
Lo!Mimi leo nimefungiwa account yangu ya M PESA kisa kuna mteja wao katuma hela kwangu kimakosa.Inashangaza mteja anaadhibiwa kisa mteja mwenzake kafanya makosa na kibaya zaidi naambiwa mpaka masaa 24 ndipo naweza kurejeshewa huduma.Mimi nilidhani lilikuwa ni suala la kuniambia nirudishe hiyo pesa kwa mwenyewe.
 
hawa jamaa hamna kitu kabisa ngoja niishie hapa kukwepa ban
 
Kwl voda wezi sana jaman,mi nimewahama sikunying ila walio karb yang wanalalamika sana. Unaweka elf3 kwenye cm baada ya mda wanaikata yote bila sababu ya maana. Wanaboa sana yani
 
Voda sio mtandao wa kutumia,Nilikuwa nikiweka salio baada ya kununua kifurushi pesa inayobaki siikuti, nikipiga simu napewa majibu yasiyoeleweka,nikaona isiwe tabu nikahama kabisa,sasa nina miezi mitano sijaweka line ya voda..... Makampuni ya kifisadi haya yatatumaliza Watanzania tushtuke...!
 
poleni sana ambao bdo mpo uko kwa wez wakubwa hawa! Msichelewa njooni kwa mtandao wetu wa hakatwi mtu hapaaaa! Raha tup
 
Tehetehetehe.... nilishatupa lain ya VODA chooni siku walipo niibia SALIO Tsh 4237.52. Now napatikana HAKATWI MTU HAPA, huku ni raha sana Kifurushi 999= dk-61, Gb -1 na sms nyingi tu..... tehetehetehetehe....... POLENI BANDUGU MLIOKO HUKO MTAAIBIWA SANA
 
Hata Mimi juzi niliweka kifurushi Cha 3500/ Cha wiki,lakini hata nusu Saa haikupita kimeliwa,nimehamia mtaa Wa saba
 
Nami nimewahama kabisa wamekuwa wezi wa kutupa imeniuma sana juzi kati nimeweka 4200/ nimepata dakika nisizotaraji tena wanadanganya kwa kutuwekea sekunde zionekane nyingi kumbe ujinga mtupu sasa hivi niwezi wakubwa hawa voda
 
Back
Top Bottom