Vodacom ni balaa

kweli rate za voda sawa na chinjachija.
 
Mi nizungumze moja tu la sms. Kupata sms kutoka nje ni ngumu kwa mitandao ya voda na Zain, sijui kwa zantel maana sijajaribu, ila Tigo unapeta kama kawa yaani unachat kabisa! pamoja na gharama zao kuwa chini.
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao












 

'Hamia airtel'
 
ni balaa mi naitumia kwa mpesa tu nkimaliza naiweka kibindoni line yao mpaka skunyingine nna shida na mpesa
 
hamia tigo/airtel,unangoja mpk wakuibie hata hiyo simu yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…