Vodacom na 'utapeli' wao katika vifurushi vyao washika kasi

Asante kwa taarifa ila angalizo ni kwamba Vodocom wenyewe wamekili nyongeza ya gharama bila kutoa taarifa kwa wateja arafu sijafanya "uptdate au kudownload any new apps" kwa zaidi ya miezi minne (4)kwanini tofauti ionekane kwa miezi miwili mitatu tu hii..kuna jambo linafanyika basi tu sisi watumiaji hatujaelewa na naogopa isije ikawa kuna mkono wa "Sirikali"....na ajenda ya kutukamua zaidi ....
 
Aisee nilifikiri ni kwangu tu.
Nilikuwa najiunga GB 3 inakaa hata siku 5 lakin saiv inakaa siku mbili na matumizi ni yale yale. Hatari sana hii.
 
Ni kweli kabisa. Sasa hivi hawa makaburu wamekuwa wezi kupindukia.

Sijawahi kuona kampuni wezi na matapeli kama Vodacom Tanzania. Mwanzo tiGO ndio walikuwa wakali kwenye wizi lakini sasa hawa mikwundwuvodacom wametia fora.
 
Hawa vodacom wamekuwa wezi sana kupindukia..nashukuru Tigo wametusaidia huku mikoani..ukijiunga 2000 voda ..utadhani umeweka hela bila kuunga bundle..mb zinaisha masaa 12 ni mengi..ila tigo 2000..unaiona thamani ya pesa..voda wamekuwa wezi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…