TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Asante kwa kutuelimisha. But, nashauri uzi huu uhamishiwe huko Habari na Hoja mchanganyiko. Sio humuJaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
CRDB hawaruhusu mitandao mingine ya simu hususani Halotel kwenye Simu bank yao. Hivyo ni lazima kuna kitu kati yao na VodaCom kwenye wizi huo. Ni wakati sasa wakalazimishwa kutumia mtandao wetu wa TTCL na Halotel!Hawa voda ndio wahuni sio CRDB,
voda wezi hasa kipindi hiki rostam anataka kuuza hisa..ila kucheki salio si ni sawa na kuingiza atm card kwenye atm!!?..kama ndivyo nadhan kuingiza atm card wanakata hela hiyoCRDB eti ukicheki tu balance kwa Sim banking wanakata tshs 364.. Kila ukicheki balance wanakata hela hiyo.. Ni hatari sana huo ni wizi..!! Hivi kucheki balance kwa simbanking kwann wana chaji? Hela yangu, simu yangu, data yangu, hivi kweli hata kucheki balance unanichaji tshs 364..yaani kila ukicheki balance wanakata hiyo hela.. 😡😡😡😡
Kuna wizi mkubwa zaidi ya unaofanywa na uliofanywa na maccm? Maccm mmeiba kodi zetu kwa miaka mingapi?huu ni wizi wa mchana kweupe ...ikibidi warudishe fedha
kamshauli jiwe awakoromee wataacha wewe si fito ya ndaniJaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
nenda kamushauri jiwe MWENYEKITI wamafisi awakoromee waondoe hizo garamaJiwe ni nani?Kumshauli ndio kufanyaje?
Unasemea wizi wa shilingi ishirini huku unapiga zumari kwa upotevu wa mamilioni bila sababu za msingi.Sijawahi kukaa kimya dhidi ya wizi
Hahahaàa mkuu usijifanye huoni.Pilitics again!!
Sio kila kitu kinajadiliwa au kuamuliwa kisiasa.
Tukiendelea kuendekeza siasa kiasi hiki tutakuwa nchi maskini sana.
Toa ushauri au mawazo yako nini kifanyike, ukiitaja CCM au chama chochote haiondoi ili tatizo la walaji(consumers) kudhulumiwa na watoa huduma(service providers).
Hahahahaa Jingalao anajichanganya na misimamo yake feki.Unasemea wizi wa shilingi ishirini huku unapiga zumari kwa upotevu wa mamilioni bila sababu za msingi.
1.5TTsh 20 kwa wateja milioni 2 ni sh ngapi?kwa siku moja?kwa mwezi ? kwa mwaka?
Kama unaishi kwa kuhongwa au kununuliwa huwezi kuona big picture
pesa ya wizi haikatwi kodi.Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
TCRA walikujibu,maana wao ni wazee wa kupiga kimya tu20Tsh bila receipts is an audit querry!
Yeah ni kweli, mfano hata AMANA Bank ukiwa na sim banking services kwa halotel haukatwi chochoteHili jambo mkuu ungelifanyia utafiti kwanza. CRDB umewatuhumu bure wanaokata ni VODACOM, kuondokana na hii kero mimi nilijiunga Simbanking kwa kutumia HALOTEL sikatwi hata sumni. Nasikia pia TIGO na hawakati.
Ni uhuni unaotakiwa kukabiliwahili halijaanza leo ni suala la siku nyingi sana labda kama umeaanza kutumia huduma hii leo, na sio CRDB na VODA tu bali ni suala la mitandao yoote kwa namna tofauti tofauti na kuna maada nyingi sana humu toka 2010 zinalalamikia wizi huu aina nyingine ya wizi wa kwenye huduma za atm pale transaction inapokuwa cancelled. Upo pia wizi kwenye speed za mitandao, mtandao unasearch dk10-20, usiponunua kifurushi pia na ukaacha data on imekula kwako.. TUNAHITAJI KUAMKA KUWEKA MAMBO SAWA.