Hili jambo mkuu ungelifanyia utafiti kwanza. CRDB umewatuhumu bure wanaokata ni VODACOM, kuondokana na hii kero mimi nilijiunga Simbanking kwa kutumia HALOTEL sikatwi hata sumni. Nasikia pia TIGO na hawakati.Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Umaskini unakutesa mkuu,tafuta pesa achana na siasa za kulamba miguu akina Bashite utakufa njaa wenzio wanaula.Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
TCRA hii hii mali ya ccm lumumba??Hawa voda ndio wahuni sio CRDB,
Vodacom wanakuuzia kifurushi cha internet cha Night 4GB kwa Tsh1500 kisha unapotumia ikifika 3GB unaambiwa kifurushi kimeisha.
Nimejaribu zaidi ya mara 4 ni proven issue kabisa.
TCRA tulindeni consumers.
Unalilia sh. 20???? Njaa mabaya sana. Kuangalia salio ni huduma.lazima uililpiehuu ndio wizi hatarishi wa kimtandao.
Voda na CRDB wameshiriki kuniibia
Tsh 20 kwa wateja milioni 2 ni sh ngapi?kwa siku moja?kwa mwezi ? kwa mwaka?Umeibiwa tsh 20 tu unalalamika Kama unataka kujifungua vile, je sisi ambao hatujui 1.5T zilipo tusemeje? Wewe kwako tsh 20 ni kubwa kuliko 1.5T? Mbona sijawahi kuona unalalamika? Acha upumbavu!
Hata hivyo naunga mkono hoja yako maana hawa Vodacom Sim Banking ni wezi sana. Hawana kiwango maalumu cha kuangalia salio lako lililopo kwenye akaunti yako ya CRDB.
Spidi yako ya kucheza na menu ya Sim Banking ndiyo itakayohamua ukatwe kiasi gani. Ukiwa slow au network ikiwa inachelewa ku-respond unaweza kukuta umekatwa hadi 500. Huu ni wizi kwakweli. Kwa nini wasiwe na fixed amount ya kuangalia salio?
Pilitics again!!TCRA hii hii mali ya ccm lumumba??
wanatuibia wateja lakin sio serikaliJaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
Wanajua sana hao TCRA ila Wanapiga Kimya.. utadhani wao hawatumii CRDB na SimBankingSanaaa nadhani TCRA lazima wawe macho sana kwa hili, ni kama vibaka vile yaani.. Wanadokoa dokoa hela za wateja ila kwa siku wanakusanya millions..!! Inakera mnoo
Mbona wewe unashiriki meza moja na wale majangiri na mjizi ya democracia na nimadhurumati hadharani kweupe si bora hao voda na crdb. Tuliia n wewe ikiingie alaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ni mawakala either Voda au CRDB shenzi zenuYaani 20 ndio inalalamika hivo
Kaombe ccm
Mkuu,kuna watu majina yao ama ID zao zinasadifu uwezo wao kiakili. Mtu hana ushahidi kuwa ni Vodacom au ni CRDB ndio wanaokata hayo makato,then anakurupuka kama kafumaniwa kuja kuleta ujinga wake hapa.jingalao kabla hujaongea kuwa kwanza unafanya utafiti, hata boss wenu alishawaambia msiongee bila data.!
Do you have anything to back up your argument..?
Sasa unamlalamikia nani?Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.