huu ndio wizi hatarishi wa kimtandao.Huo ndio uwizi mitandao ya simu hufanya.. Wanakata wateja sh. 20 au 50 au 75 wakijua huwezi fuatilia kwani kwa mmoja huonekana ni kidogo ila zidisha kwa wateja mil. 5 ndio utajua wanaibia wateja kiasi gani
huu ndio wizi hatarishi wa kimtandao
Unataka tukusaidie nini? mengine mabaya kuliko haya unayafurahia hili ndio unaona ni tatizo kubwa, kumbe huwa mnashabikia mambo huku mioyoni mnaumia kimyakimya.Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.
jingalao kabla hujaongea kuwa kwanza unafanya utafiti, hata boss wenu alishawaambia msiongee bila data.!Jaribu kuomba huduma ya CRDB SIM BANKING kupitia vidacom kwa wakati huu utajibiwa kuwa hakuna huduma.
sasa nenda kwenye salio lako la muda wa maongezi...unakuta limekatwa kiasi kisichopungua Tsh 20...sina hakika kama kuna senti iliyoingia Serikalini.