Vodacom mtanisamehe.

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
16,874
Reaction score
15,746
Kutokana na dhulma ya serikali iliyoko madarakani kwa kutaka kutopora pesa kwenye huduma za kutuma na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu,kuanzia Leo nimejiondoa kwenye huduma za M pesa.Na kwakuwa sikutaka kuondoka mikono mitupu ,nimewaomba mkopo na mkanipa,nasema Asante Sana.Sitalipa deni Hilo na sitatumia Tena huduma zenu.Asanteni.
 
[emoji23][emoji23][emoji848]khaaaa
 
Tatizo siyo kampuni za simu,ilaumu Serikali yako na wabunge waliopitishwa kwa kishindo bila kupingwa.
 
toeni kodi nyingi ili walaji wale na watu waongezewe mishahara
 
Nawe ni mwizi kama ccm
 
Hivi ni wananchi wa jimbo gani waliomwambia mbunge wao kuwa wanataka gharama za juu kwenye miamala.?
 
Hivi ni wananchi wa jimbo gani waliomwambia mbunge wao kuwa wanataka gharama za juu kwenye miamala.?
itakuwa ni wananchi wa tumboni mwake(minyoo) ya huyo mbunge. Minyoo inawaletea wabunge njaa. Wanataka kodi ipandishwe ili waongezewe mishahara. Hawariziki na wanacholipwa. Wanatanguliza maslahi na matumbo yao mbele. Kwanini rais wao asiwape dawa za minyooo njaa za matumbo yao ziishe?
 
Kuna fala anajiita Zungu pale bungeni yeye alisema salio kwa mwezi anatumia 50000 wakati sisi raia kwa mwezi tunatumia buku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…