Vodacom modem

Vodacom modem

blackpearl

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
73
Reaction score
11
Nmesikia kuna service ya Vodacom internet kwa modem ambapo u pay tshs 30,000/month n then u get unlimited downloads...ni kweli?,if yes vipi kuhusu downloadng speed??
 
Unaweza sema ni unlimited coz wanakupa 100GB za kutumia kwa mwezi coz kwa hal ya kawaida ni ngumu sana kumaliza that package ndan ya mwezi.. Speed yake inategemeana na mnara unaokuservice kama unatransmit 3g waves nawe utapata.
 
Nmesikia kuna service ya Vodacom internet kwa modem ambapo u pay tshs 30,000/month n then u get unlimited downloads...ni kweli?,if yes vipi kuhusu downloadng speed??

nadhani ukieleza mahali ulipo au unapofanyia shughuli zako watu waliopo ktk eneo hilo watakueleza speed wanayopata.
 
Mh!!!

ok sifahamu hilo ila mimi naweza kukufanyia deal ukapata unlimited internet access. ya 3.5G pia inategemea na mahali ulipo. inakucost sh elfu 25 tu mwanzoni ila unatumia bureeee kabisa hatahapa ninaandika hii post natumia hiyo free net huku nadownload muvi

cheers!!!!1
 
Nmesikia kuna service ya Vodacom internet kwa modem ambapo u pay tshs 30,000/month n then u get unlimited downloads...ni kweli?,if yes vipi kuhusu downloadng speed??

Ni kweli ipo service hiyo. Inaitwa BOMBA30. According to my experience with it, speed yake inategemea na download manger unayotumia, kwa mfano kama mfanno kama unatumia Internet Download Manager speed yake nzuri sana. Pia inategemea na network connectivity kwa wakati husika. Tuma BOMBA30 kwenda 123.
 
Mh!!!

ok sifahamu hilo ila mimi naweza kukufanyia deal ukapata unlimited internet access. ya 3.5G pia inategemea na mahali ulipo. inakucost sh elfu 25 tu mwanzoni ila unatumia bureeee kabisa hatahapa ninaandika hii post natumia hiyo free net huku nadownload muvi

cheers!!!!1


Im intrested, how do i get to know more..
 
Unaweza sema ni unlimited coz wanakupa 100GB za kutumia kwa mwezi coz kwa hal ya kawaida ni ngumu sana kumaliza that package ndan ya mwezi.. Speed yake inategemeana na mnara unaokuservice kama unatransmit 3g waves nawe utapata.

All tariffs quoted inclusive of taxes.

  • To buy via sms to 15300, sms VODACOM INTERNET to 15300 for a list of keywords.
  • To buy for another Vodacom number from your main Vodacom Prepaid phone, dial *149*01# select Internet and then 'Buy Internet for friend':
Terms & Conditions:


  • FREE daily access to Wikipedia, Facebook and Twitter sites for Vodacom Prepaid customers only by default.
  • Unlimited bundles include volume (MB) at full speed after which the user stays connected at a slower speed but no extra cost until end of validity.
  • Each MB bundle includes usage up to specified volume (MB) after which usage is billed at Tsh 0.15 per KB.
  • After bundle ends, standard pay-as-you-go rate (Tsh 0.15 per KB) will apply.
  • Bundle usage is valid within Tanzania. Standard data roaming rates will apply on usage outside Tanzania.
  • Internet / Wap access is consumed / charged at accumulated uplink and downlink volume per KB.
  • Disconnect any live internet session, voice call or sms before you purchase an internet bundle. Desist from any phone usage until bundle has been activated.
  • All bundles are available on Vodacom Prepaid, Hybrid and Post-paid as bolt-on purchase, valid for number of days from activation. Purchase of a second bundle allowed after volume allocated in the first bundle has been consumed.
  • Notifications on bundle activation, consumption and expiry are sent via sms. Users of devices that do not support SMS functionality (eg: iPad) should note this:
  • Dial *149*01# or sms BALANCEDATA to 15300 for internet bundle balance.
 
Back
Top Bottom