Vodacom mbona mnatuaibisha

Vodacom mbona mnatuaibisha

majutobeach

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
212
Reaction score
164
Kutoka kununua hisa moja tsh 800 imeshuka mpaka tsh 72 haibu nimejuta kununua hisa zenu
 
Umelipwa Gawio la Hisa zako za VODACOM, TZS 12.74 kwa kila hisa moja (toa 5% Kodi ya Zuio) kupitia Akaunti yako iliyopo NMB .
 
kazi ni kwako-power to you.
 
Umelipwa Gawio la Hisa zako za VODACOM, TZS 12.74 kwa kila hisa moja (toa 5% Kodi ya Zuio) kupitia Akaunti yako iliyopo NMB .
Kama kuna gawio manake thamani ya hisa imepanda, una uelewa mzuri wa solo la hisa mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: 911

Similar Discussions

Back
Top Bottom