sanga kariakoo
Member
- Dec 31, 2020
- 91
- 136
Hapana situmii songesha mkuu natumia Mastercard bna ni kila siku leo nashangaa ndugu halafu nimecheki na watu wengine kumbe ni wengi inawatokea ivi kiukweli ningekuwa na namba ya jiwe/magu ningempigia aiwezekani ela yangu waniambie baada ya siku 8 kwa iyo dawa ni kuhamia Airtel tu.Umelipa deni la songesha mkuu, ulidhani wanasamehe kiraisi tu?
Sanga Kariakoo inaonekana una madeal makubwa makubwa.Apana situmii songesha mkuu natumia mastercard bna ni kila siku leo nashangaa ndugu afu nimechek na watu wengine kumbe ni wengi inawatokea ivi kiukweli ningekua na namba ya jiwe/magu ningempigia aiwezekani ela yangu waniambie baada ya siku 8 kwa iyo dawa ni kuhamia Airtel tu.
Jina lenyewe Sanga usimchukulie poa [emoji3][emoji3]Sanga Kariakoo inaonekana una madeal makubwa makubwa
amna kawaida tu mheshimiwaSanga kariakoo inaonekana una madeal makubwa makubwa
Hahahahahah huyo ndio Vodacom a.k.a sterling wa Majambazi wa kimtandao πππ!!!Umelipa deni la songesha mkuu, ulidhani wanasamehe kirahisi tu?
Mkinga wa Kariakoo huyu..tuongee naye vizuriSanga Kariakoo inaonekana una madeal makubwa makubwa.