4G LTE ni noma + wajanja night offer itakua balaa
wamesema kwa sasa ipo msasani tu kwa majaribio. Ila big up sana kwa vodacom tz
hawa wengine kazi yao kubadilisha majina tu.
Hahahaha "mabundi" umenikumbusha navyokodoaga macho during night net surfing hahahaha yaani asubuhi macho ka nimemwagiwa damu hahahaha afu nasikiaga kama nimeingiliwa na uchafu machoni hahahaha "mabundi" hahahaha
as i knw ni kwamba wanajarbu ku upgrade waweze kufka level za cmda,dats y kila cku mara 3g mara nin hii yote tokana wanatumia gsm(voda,airtel,tgo).
Wakfankiwa kufka huko bas wale wa cmda(ttcl,zantel) watakua mbal zaid