Vodacom kuna tatizo

Vodacom kuna tatizo

Mtandao walishaurudisha kimya kimya tu, hawajaomba hata radhi. Waswahili sana hawa!
 
Hivi ile mitambo iliyoungua pale ppf tower sio ya kwao kweli? Inabidi watueleze wnanchi ili tuwavumilie
 
Tatizo vodacom wameangalia sn 'PROMOTIONS' badala ya kuboresha system. Jaman tucwe watumwa mitandao mingi sn.
 
Mkuu siyo jana tu, VODACOM wana tatizo almost wiki mbili au zaidi.
Mimi sijawahi kubadili namaba ya simu yangu for almost 10 yrs na sasa naona madudu
  • ukipiga simu hai-connect
  • ukipiga simu unasikia sauti yako mwenyewe-its crazy!!!
  • simu ikisha connect in jam na kukata mawasiliano
  • wakati mwingine kuna muungurumo kwenye mawasiliano
  • ukikata simu haikatiki na inaendelea kukata senti
Naamini TCRA wata fuatilia tatizo hili maana baada tu ya kupunguza gharama za connection kati ya makampuni ya simu ndiyo haya matatizo yamekithiri.

Ni kweli mkuu, mara lying sana mtandao wa Vodacom unakuwa chini sana ila sina hakika kama hii ni hali ya Dar tu au la.
 
Karibu wiki au zaidi kwa kweli wanasumbua. Ukipiga mtu hapatikani,ukijaribu jioni unampata. Au ukimpata hamsikilizani. Inakuwa kama enzi ya Mobitel na Buzz. Mtandao unasumbua ila ukirudi unaikuta simu yako ina airtime ya kutosha kupiga hata abroad.
 
Toka usiku hakuna mtandao, nikafikiri ni simu yangu tu. Lakini asubuhi nikacheki na simu ya wife nayo pia haina mtandao. Kuna tatizo gani huu mtandao wa Vodacom? Je wenzetu hapa Dar mnapata mtandao?

Masimu ya kichina nayo ni tatizo wakati fulani!!!!any way, pole mkuu.
 
Masimu ya kichina nayo ni tatizo wakati fulani!!!!any way, pole mkuu.
Si kweli mkuu, mimi nina Iphone 4s, simi kisasa kabisa na madudu haya ya VODACOM yanatesa.
Inaelekea VODACOM ndio wana mitambi ya Kichina.:crazy::crazy:
 
kama huku LUSHOTO Internet network tulisha sahau kabisa ukweli wanatakiwa kufanya marekebisho watu wanahamia airtel.ndio mpango mzima!
 
Wamenipa internet bure cku 7ipo fasta balaa nimedownload mpk nmechoka bb yangu nilikuwacjailipia nimejikuta ipo full connected na srvcs ss niwalaum nini vodacom kazi ni kwangu nimepata gta 4 bila kutegemea

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom