UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,316
- Mbona huduma zao zote zipo hewani? UNDENIABLE
Ni kweli mkuu, network ilikuwa inasumbua toka asubuhi, lakini kwa sasa naona wamerekebishaHi wana voda!
Vodacom dsm network imekata. Kuna nini tena? yaani no mawasiliano at all! Au ni ule muendelezo wao wa kubug kwenye vifurushi maana nyie ni kama moto wa vifuu!
Duuuuu sielewi mkuu, mm nipo hapa maeneo ya upanga naona kitochi changu hakisomi mnara wa voda. ila internet ipo kama kawaida!
- Yamkini hili ni tatizo baadhi ya maeneo. ila kwangu kila kitu kipo OK
Hi wana voda!
Vodacom dsm network imekata. Kuna nini tena? yaani no mawasiliano at all! Au ni ule muendelezo wao wa kubug kwenye vifurushi maana nyie ni kama moto wa vifuu!
hope wanatuekea hio 4g
Ama ndo share za Rost tamu za azizi zimeanza kuaffect service