Angalia setting yako ya Software updates
kwa bei gan unapata gb 10Voda,Tigo ni wezi wote hao gb 10 ya week haitoboi sku3 bila downloads ni matumizi ya kawaida tu
Hahahaaa jamani muwe postive basi... ila kabla ya kuwatuhumu inabidi mjiridhishe kwanza. Kipindi nina kale kasimu kadogo niliweka vocha ya airtel nataka niunge GB nitumie kwenye pc. Ile vocha nimeweka tu ikakatwa eti nimewasha data. Jamani nilipigwa ganzi..hivi kisim cha batani unawasha vp data.Hakuna cha software wala hardware Vodacom Tanzania wapuuzi tu
hahaha bora umewahi mana angesema cheki hardware zako...Hakuna cha software wala hardware Vodacom Tanzania wapuuzi tu