Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,512
- 12,445
Kubwa sanaπwamenipa 620tsh
Kwa mwaka unafanya transactions ya shngp mkuuHuu mtandao nimeutumia tangu 2006 mpaka Sasa sijawahi kuona hiki unachosema.... hata gawio la Tsh 1000 sijawahi kuona... Ni vile nawapenda tuu....
Inasikitisha sana....
Mimi napataga ila haijawahi kuzidi 1500Huu mtandao nimeutumia tangu 2006 mpaka Sasa sijawahi kuona hiki unachosema.... hata gawio la Tsh 1000 sijawahi kuona... Ni vile nawapenda tuu....
Inasikitisha sana....
Haitengenezi faida nzuriHivi hii kampuni ina wanahisa? Mbona bei ya hisa zao haziongezeki?
ππππKabisa tsh 20/= unauliza nitafanyia niniπ
Sasa haya mabilioni kwa promotion watapata faida kiasi gani?Haitengenezi faida nzuri
Inategemea unatumiaje MPESA kama unatuma mara chache sana na hela kiduchu duchu ndio maana huoni mimi kuna wakati nilipata shillingi 2000 hizi ni nyingi sana kitu cha bureHuu mtandao nimeutumia tangu 2006 mpaka Sasa sijawahi kuona hiki unachosema.... hata gawio la Tsh 1000 sijawahi kuona... Ni vile nawapenda tuu....
Inasikitisha sana....
Hii hela watulipie madeni ya Mpawa, songesha na mgodi sasaKampuni ya simu ya mawasiliano ya Vodacom imetangaza kugawa bilion 28 kwa wateja wake nchini. Fedha hizo zitaenda moja kwa moja kwa wateja watumiaji wa mpesa na na huduma nyingine za vodacom.
Fedha yako utafanyia nini mdau utakapopokea GawioView attachment 3384743
Walikufanya nini?Hawa sina hamu nao
Ova