kampuni za simu karbia zte zna wizi wake ,airtel nimeunga bundle ya cku malipo kwa muda karibia mara mbili tofauti wamekua wakinikatia connection na ata muda bado unakua haujaisha.. 2eni makini ndugu zangu na uu wizi!
natumia pd proxy mkuu thats it!!!! hope ushasikia fununu zake...funguka kidogo mkuu,na sie tupate maujanja...
Naunga mkono hoja. hawa jamaa ni wezi. Nikitumia vifurushi vya Airtel nafurahi sana. Tena kila unapopiga simu balance ya dakika zilizosalia unapewa automatically. Vodacom ni wezi kabisa wakifuatiwa na ndg zao Tigo hovyo kabisa....inakera sana, mtu unanunua kifurushi,wanakupa hongera kwa kununua kifurushi, kabla hata hujapiga simu hata moja unapokea ujumbe kwamba kifurushi chako kimekwisha nunua kingine...!! Unapiga customer care, hata kuwapata hewani hawapatikani. Mbaya zaidi ujumbe wao unaniambia "kaazi ni kwako". Nilitamani nimrukie mtu puani. Badilikeni vodacom,jina kubwa huduma mbovumbovu tu.... Ngoja nimcheki mdosi wa hamia eatel,maana huku ni uzushi mtupu...
Gefu dawa ya hao wezi, na wengine nao wasikie, inaandaliwa. Ni mgomo wa kuzima simu nchi nzima, MITANDAO YOTE, kuanzia saa 6 usiku, 19/08/13 hadi saa 6 usiku, 20/08/13, ikiwa ni muda wa saa 24. Tuwanyime mapato wezi hawa kwani wote wanaiba. Wote! Wasiposhika adabu tunarudia mgomo kwa siku 3. Wakigoma kutusikiliza, tunaongeza siku hadi siku 7. Wakigoma tunaongeza tena mpaka washike adabu. Hata mwezi ikibidi.
Tukishamalizana na wezi hawa tunahamia sekta nyingine, kwa mfano MicroFinance. Hivi mnajua FINCA na PRIDE Africa wanavyowaibia wanawake na wajasiriamali wengine? Samahani kwa kutoka nje ya mada lakini wizi ni wizi, muda wa kulalamika bila kuchukua hatua umekwisha.
Haitoshi kuwa na hasira. Chukua hatua. Hata hivyo kutumia au kutotumia simu ni hiari yako.
Kazi ni kwako? Hapana. Haki ni yako! ITUMIE!
...wapo bize kuhakikisha sheria mpya ya bukubuku inafanikiwa,malalamiko ya wananchi si sehemu ya agenda zao...Hivi anayesimamia haya mashirika ya simu ni nani au ni chombo gani? Je, lawama zote zinazotokea ni hatua zipi zimechukuliwa? Je, maamuzi mangapi yametolewa na huyu msimamizi kuhusu kampuni za simu?
Gefu dawa ya hao wezi, na wengine nao wasikie, inaandaliwa. Ni mgomo wa kuzima simu nchi nzima, MITANDAO YOTE, kuanzia saa 6 usiku, 19/08/13 hadi saa 6 usiku, 20/08/13, ikiwa ni muda wa saa 24. Tuwanyime mapato wezi hawa kwani wote wanaiba. Wote! Wasiposhika adabu tunarudia mgomo kwa siku 3. Wakigoma kutusikiliza, tunaongeza siku hadi siku 7. Wakigoma tunaongeza tena mpaka washike adabu. Hata mwezi ikibidi.
Tukishamalizana na wezi hawa tunahamia sekta nyingine, kwa mfano MicroFinance. Hivi mnajua FINCA na PRIDE Africa wanavyowaibia wanawake na wajasiriamali wengine? Samahani kwa kutoka nje ya mada lakini wizi ni wizi, muda wa kulalamika bila kuchukua hatua umekwisha.
Haitoshi kuwa na hasira. Chukua hatua. Hata hivyo kutumia au kutotumia simu ni hiari yako.
Kazi ni kwako? Hapana. Haki ni yako! ITUMIE!
Hivi anayesimamia haya mashirika ya simu ni nani au ni chombo gani? Je, lawama zote zinazotokea ni hatua zipi zimechukuliwa? Je, maamuzi mangapi yametolewa na huyu msimamizi kuhusu kampuni za simu?
...inakera sana, mtu unanunua kifurushi,wanakupa hongera kwa kununua kifurushi, kabla hata hujapiga simu hata moja unapokea ujumbe kwamba kifurushi chako kimekwisha nunua kingine...!! Unapiga customer care, hata kuwapata hewani hawapatikani. Mbaya zaidi ujumbe wao unaniambia "kaazi ni kwako". Nilitamani nimrukie mtu puani. Badilikeni vodacom,jina kubwa huduma mbovumbovu tu.... Ngoja nimcheki mdosi wa hamia eatel,maana huku ni uzushi mtupu...