Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
...inakera sana, mtu unanunua kifurushi,wanakupa hongera kwa kununua kifurushi, kabla hata hujapiga simu hata moja unapokea ujumbe kwamba kifurushi chako kimekwisha nunua kingine...!! Unapiga customer care, hata kuwapata hewani hawapatikani. Mbaya zaidi ujumbe wao unaniambia "kaazi ni kwako". Nilitamani nimrukie mtu puani. Badilikeni vodacom,jina kubwa huduma mbovumbovu tu.... Ngoja nimcheki mdosi wa hamia eatel,maana huku ni uzushi mtupu...