MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,413
- 4,889
Mkuu muda wa maongezi kwa m pesa ndizo wanazilamba kama hawana akili nzuriSerikali hii itakachoangalia ni je wamelipa kodi basi, Uwe unaweka hela yako kwenye Mpesa halafu unanunua vifurushi vya maongezi kwa gharama nafuu vya mwezi mmojammoja