nani ambae azalishi kwenye hizi kampuni za simu? kila idara ina umuhimu wake anayefanya usafi atasafisha ofisi kuwa safi na kuvutia wateja,anae pika chai ili staff wapate ridhiki ya kinywa kwa wakati wafanye majukumu,cs desk nk yani hakuna asiechangia katika uzalishaji tusidanganyane. labda walurugenzi na boardndugu capitalism inataka kila mtu azalishe kitu..
inawezekana faida wanayopata kina wachache wanaizalisha.. ila kuna wengi hawazalishi..
ndio maana wakiwa wanapunguza staff.. wanaangalia nani hana umuhimu ndio wanamtoa