___wastahili sifa! Tulijaribu kuwasiliana na wewe na hukujibu! Muda ni sasa: Tuma jina lako kwenda 15544 na waweza shinda leo tsh 3m taslimu na vodacom! 550tsh/sms
una neema! Usichukulie ujumbe huu ki mzaha: Tuma jina lako haraka kwenda 15544 na waweza shinda tsh 3,000,000 taslimu ya vodacom usiku huu! 550tsh/sms
___075624**** imechaguliwa, ni namba yako? Basi, waweza shinda tsh 3,000,000 taslimu leo na vodacom! Tuma jina lako kwenda 15544 sasa! Hatukutanii! 550tsh/sms
___umebahatika! Katika mchujo, namba 075624**** yaweza kushinda usiku huu tsh 3,000,000 taslimu na vodacom! Tuma jina lako kwenda 15544 haraka! 550tsh/sms
hongera! 075624**** imeshinda namba ya siri: Sc01! Tuma tu jina lako kwenda 15544 haraka na mara 1 uingie droo ya tsh 3,000,000 usiku huu na vodacom! 550tsh/sms
Hizi messages zao zinanikera sana:
___
___
___
___
na nyingine nyiiiingi ambazo ni wizi mtupu
Tunakoelekea sasa ni kuwapeleka mahakamani na kudai mamilioni kwa kutusumbua kwa biashara zao. Nchi zingine ili uingizwe kwenye meseji kama hizo ni lazima ujaze fomu na kusaini. They can't take us for granted. Ninaposoma meseji hizo kwanza napoteza muda wangu, pili simu yangu inatumika kusoma meseji zao, tatu chaji inatumika na wakati mwingine unaposubiri ujumbe wa maana inaweza kukutoa roho bure. Those capitalists should be serious otherwise wataishia mahakamani.
whaaaat?zipo nyingi na hata yale magari zuga tu. Sijaona hata moja dar, mwanza, moshi au arusha. Wamekusanya bilioni mia na sasa wanataka bilioni 210 watunishe mtaji. Nasikia washindi wote ni wafanyakazi wao au mawakala....RA/ER mtatueleza pesa/zatu
Mkuu huhitaji kujua marketing kujua kwamba huu ni wizi....eti tuma jina lako tu utaingizwa kwenye droo...kwani wamelitafuta kwenye database yao halipo!?Nisingekuwa najua marketing ningekuwa naingia mkenge sana kwa hizi msg
Pole sana tena ukiwajibu ndiyo utakuwa unatumiwa mpaka ukome.....mimi nilijaribu kujibu hizo sms ili nione mwisho wake. Nilituma sms kibao, na kuliwa mshiko wa nguvu. sikufika mwisho. na bado zinakuja tu.
My verdict: STYLISH DAY LIGHT ROBBERY! ... Karata 3 ! BEWARE