Vodacom huu sasa ni utapeli...

Mwizi si lazimza aje akuchomoe fedha mfukoni,au akupige roba ya mbao njiani.Hii ni stairi nyingine ya makampuni CM kama voda kujiongezea kipato pale yanapo detact kuanza kufirisika.Jamani eh mnalalamika au mtalalamika kwa huu wizi wa kuaminika mpaka lini?HAMIA HUKUUUUUUUUUUU!!!
 
Wako katika biashara ni juu yako wewe kutambua kuwa zote hizo ni janja ya kutaka utumie hela yako ya kwenye simu kutumia ujumbe ili REVENUE yao iongezeke wakati wewe unafikiria upate vipi hela ya kuongeza' credit' kwenye simu

___



___


___


___



na nyingine nyiiiingi ambazo ni wizi mtupu[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom