Vodacom huduma zimekuwa ghali

Vodacom huduma zimekuwa ghali

Life starts at 45

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
1,000
Reaction score
998
leo nimeenda kubadili simcard yangu ya vodacom kusudi wanipatie inayosapoti 4G chaajabu eti kubadili nimeobwa Tsh 2000 daah mpaka nomechoka sasa nahiuliza hili ni kwa wote ama ni baadhi ya vodashop
 
Rudi nyumbani ndg, kumenoga saana TTCL Gharama ni kitambulisho chako tuu line ya 4G yenye kasi ya ajabu kwa bei ambayo utajikadiria wewe mwenyewe!
Karibu saana
 
leo nimeenda kubadili simcard yangu ya vodacom kusudi wanipatie inayosapoti 4G chaajabu eti kubadili nimeobwa Tsh 2000 daah mpaka nomechoka sasa nahiuliza hili ni kwa wote ama ni baadhi ya vodashop
hapo umeibiwa mkuu!! mm nilibadili yangu ni bure kabisa!! nilikwenda pale Morocco makao makuu!! sikudaiwa kitu but mtaani ndio wanamichezo hiyo
 
Ukienda uchochoroni ndo tabia yao kudai hera hata kwa huduma za buree mi pia niliwai badili pale china plaza zamani mobile plaza kariakoo bureee tena haraka zaidi kaka dakika 2 tu tayar nikapewa lain yangu ingiza ktk cm mambo yanajipa
 
mkuu mimi nimeenda kabisa vodashop inayopatikana hapa dar mpaka Milan hip za kubadili laini 2000 jee kama umepoteza, basi kama ni hivo kuna shida mahala mi nikazani labda utaratibu mpya
 
Ukienda uchochoroni ndo tabia yao kudai hera hata kwa huduma za buree mi pia niliwai badili pale china plaza zamani mobile plaza kariakoo bureee tena haraka zaidi kaka dakika 2 tu tayar nikapewa lain yangu ingiza ktk cm mambo yanajipa
mimi pia nimeenda vodashop kubw hapa dodoma
 
Ukienda vodashop kubadili laini kuwa 4G huwa ni bure,mtaani ndo huwa wanatoza watu hela....Hata kujisajili laini mpya vodashop huwa ni bure cha zaidi utaambiwa utoe buku ambayo yenyewe unapewa vocha
 
aah ndio maana niivomuliza elfu mbili alikaa kimya ila nikatoa nikampa
 
Duuh. jana nime unga ka bando ka 1000 university ofa unit 500...nime ingia insta na JF dk 10 tu nambiwa zimeisha duuuh nilichokaaa...
 
Ukienda vodashop kubadili laini kuwa 4G huwa ni bure,mtaani ndo huwa wanatoza watu hela....Hata kujisajili laini mpya vodashop huwa ni bure cha zaidi utaambiwa utoe buku ambayo yenyewe unapewa vocha
Mwezi uliopita nilisajili line Vodashop ya pale China Plaza na nililipishwa Buku jero,sio bure Mkuu
 
Back
Top Bottom