Vodacom hizi promotion za TUZO POINTS kama UHUNI

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,249
4,483
Kawaulize watu 10 kuhusiana na TUZO POINTS. Mmoja tu atakuambia TUZO POINTS ni kitu gani na kama zinamnufaisha. Promotion gani wateja wenu hawaifahamu? Promotion huwa haihitaji mtu kwenda DARASANI kuielewa.
 
Labda wewe tu mtoa mada mbona promotion ya tuzo point inaeleweka vizuri tu
 
hazina shida yoyote unaweza kuzihamishia kwenye akaunti ya Mpesa,au kununulia kifurushi cha maongezi,nimeshanufaika nazo mara nyingi hazina shida.
 
hazina shida yoyote unaweza kuzihamishia kwenye akaunti ya Mpesa,au kununulia kifurushi cha maongezi,nimeshanufaika nazo mara nyingi hazina shida.
wengi hawajui kuwa TUZO point inalipa, unazi redeem to m pesa or airtime
 
Mimi wanaonikera ni Tigo tu,ikiingia msg yao ukitoa simu ukii-delete ukiirudisha mfukoni unasikia nyengine imeingia kuna wakati mpaka nachoka nashindwa kuzisoma najikuta nimepitwa na mambo mengine kwa kudhani kuwa sms zote ni zao.

Niliwapigia wanitoe kwenye huu ujinga wao wakanipa nusu saa ila leo wiki ya tatu bado zinakuja mfululizo.
 
Alafu ulitakiwa ufungue uzi wako uelezee,sio kuvamia nyuzi za watu za TUZO.

Kusajili kampuni bei zenu zikoje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…