Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Kifurushi changu pendwa kimeingia doa.
Nikiwa mtumiaji mkubwa wa internet hiki kilikuwa kifurushi changu pendwa.
Tsh. 2500 kwa 500MB ni unrealistic hata kama una hela kiasi gani.
Sitawahama voda, ntaendelea kutumia kwa kupiga na sms.
Ila kwa upande wa internet ntatumia Smile. Kwa Tsh. 14500 napata 10GB ambayo unaipata kwa Tsh. 50K kwa voda.
Kwaheri internet ya voda.