Vodacom hawafai, ni wezi sana

Vodacom hawafai, ni wezi sana

Kwaiyo we halotel unanunua za siku tu sio mkuu 🤔 za jero jero 😁
Yes haliiishi ng'o na bonus MB napewa km mda wa kuisha haujafika let say bando namaliza saa 4 ila saa 3 nikapata ile meseji umemaliza MB zako pale wananiachia natumia bure hadi 4 mda niliojiunga bando kisha hapo wanafunga hadi nijiunge tena kwa hio kwa mwezi natumia almost 15,000 kwa bando tu 500 daily na ditumii zaidi ya MB 200 kwa siku yaan sivushi sina matumizi makubwa daily naishia 150 au 170 mda unakua umeisha naunga tena
 
HD quality pending downloads YT, nenda YT app setup clear data then you're good to go. Hauto liwa MB zako kiajabu. Ukishindwa kabisha uninstall na u- reinstall YT kwa mujibu wa maelezo yako . ni lazima iwe hivyo ,, ni mara chache kuwa na pending online game downloader app ikwa inafanya kaz ya kuji- extract kama 2 au 1gb . ni marachache hutokea , unawalaumu vodacom bure nina uzoefu nao hawa jamaa for like 13years+ wako smart sana hawaana wizi kama kampuni X ambapo unatia vocha ya 1,000 na kukuta 998. Kampuni x mungu anawaona
 
Mm nitaenda technical zaidI.
1.km unatumia laptop/ipad disabled auto update. .km ni cm the same.
2.fuatilia bundle lako muda wakuisha...hawajalishi limeisha au la muda ukifika wanakata iliurudi kuchumwa hela ..hii nimitandao yote.
3.all videos nahasa downloads inatumia sn data kuliko kusoma habari.
NB
Kwa upuuzi wangu wakutumia data TZ,voda wapo vzr sn kwenye datakuliko most companies ilawapo ghali,airtel voice ndio wapo vzr,tigo muda wwt wanadondosha network,mara 2 nimekosa mishe mjini sababu yao
Ndiyo nini sasa technician ??mbona me sjakuelewa?
 
Kweli kabisa bundle la Vodacom kwa siku za hivi karibuni wanaiba sana , Mimi huwa nanua bundle la mwezi Elfu 35 napata GB 17 na Mb kadhaaa lakini wiki halifiki akati zaman lilikuwa linamaliza matumizi Yale Yale simu Ile Ile .
 
Kweli kabisa bundle la Vodacom kwa siku za hivi karibuni wanaiba sana , Mimi huwa nanua bundle la mwezi Elfu 35 napata GB 17 na Mb kadhaaa lakini wiki halifiki akati zaman lilikuwa linamaliza matumizi Yale Yale simu Ile Ile .
Jiunge SME ya airtel hiyo elfu 30 unapata GB 35 kwa mwezi.
 
Hao ni Majambazi harafu nashangaa huku kwetu data ikiisha huwezi hata kutuma meseji WhatsApp wakati Nchi nyingi tena za SADC na Wakenya hiyo walishaondoa data ikiisha hutaweza kupiga au kupokea video call ila meseji hata ya emergency unaweza kutuma hilo swala huwezi kusikia kwenye Nchi yetu hilo swala likawepo karibuni...ni mwendo wa kuwaibia tuu Wananchi data zao kwa kuwapa meseji ya 75% hata kama hawajatumia kitu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom