Chomoa hiyo lain kwenye modem kisha iweke kwenye cm. Kwenye sms andika BALANCEDATA kisha itume kwenda 15300. Watakujibu kiasi kilichobaki.wakuu naomba kufahamu namna ya kuangalia salio la bundle iliyobaki
Thanks mkuu.
Alternative way
tuma text BOMBA30 kwenda namba 15300
and wait for their reply
We jamaa ni mkali, nakumbuka nimekusumbua sana katika kuniwezesha niweze chakachua modem hii ya voda,kila ukinisaidia nilichemka labda kutokana na uslow-learner wangu ama machine ninayotumia but this time you got me!yaani kilichokua kinanikimbiza ni gharama zao sasa ni bata na naomba wa-stay mute wasistuke. Thanks mkuuYeah as they say What goes around comes around well its coming to them big and hard system's COMPLETELY NAKED
Follow this link to the info's and start using free internet and this is not like the PREVIOUS HACK...NO!!!.. this is far BETTER :eyebrows:
VODACOM FREE INTERNET - Pastebin.com 😛oa
Chomoa hiyo lain kwenye modem kisha iweke kwenye cm. Kwenye sms andika BALANCEDATA kisha itume kwenda 15300. Watakujibu kiasi kilichobaki.
Lol tyar kshajamba hehe lakn tuliejiunga package tunayo pale pale.. Well was fun... SO TILL WE MEET AGAIN! Adios
Lol tyar kshajamba hehe lakn tuliejiunga package tunayo pale pale.. Well was fun... SO TILL WE MEET AGAIN! Adios
niliunga line 2 nina 4gb.so long e2themiza
Never mkuupole kaka kama hiyo kwako ndio high speed. sie tunapata 9MBps
Mkuu tayari wamechukua gb zao, yaani sina kitu nimechelewa kusoma huu ujumbe wako, tunasubiri maujanja mengine tuwatafune hawa makaburuDO NOT DISCONECT I REPEAT DO NOT DISCONECT! Wameshafix kla k2 so kama ukidsconect from now na gb 2 zakn wanakunyanganya... U AV BEEN WARNED!!