Wadau haya mashirika ya simu ya hapa nchini kwa kweli yana huduma mbovu sana,mimi natumia internet ya vodacom,kwa kweli mtandao huu ni mbovu hakuna mfano!wako slow mno,kifupi ni maudhi tu,tofauti kabisa na matangazo yao wanayotoa kwy vyombo vya habari,nimejaribu package zao zote hakuna hata moja yenye afadhali!huu ni wizi wa wazi wazi!naomba mdau anaejua ni mtandao gani mzuri kwa huduma ya internet anijuze,sitaki tena kuwasikia voda,bora nilipe zaidi nipate huduma ya uhakika
Tafuta msaada kwa wataalam wa pc yako, la sivyo utahama makampuni yote na kuyaona hayafai. Inawezekana tatizo liko kwenye pc na wala si mtandao.Mkuu nami nimeweka hiyo hiyo,wanaita bomba30 na modem yao ina read kua 3g ndiyo inayotumika!ila inanisumbua kupita kiasi
Tafuta msaada kwa wataalam wa pc yako, la sivyo utahama makampuni yote na kuyaona hayafai. Inawezekana tatizo liko kwenye pc na wala si mtandao.
dah mjue watu wanapenda kulalamika sana inategemea na eneo ulipo mfano maeneo kama ya vyuo mfano udom speed ya mitandao yote ni 10 hadi 30 kbps ila maeneo yenye 3g na watu wachache kama tanga speed ni kubwa inaenda hadi 300kbps, kama unaset network yako hdspa au wcdma speed itakua kubwa tuuu.
duh bro watakshngaa watu hao jamaa wako poa yn ndo nimeona we wa kwanza kuwalalamikia kwa speed ya net
dah mjue watu wanapenda kulalamika sana inategemea na eneo ulipo mfano maeneo kama ya vyuo mfano udom speed ya mitandao yote ni 10 hadi 30 kbps ila maeneo yenye 3g na watu wachache kama tanga speed ni kubwa inaenda hadi 300kbps, kama unaset network yako hdspa au wcdma speed itakua kubwa tuuu.
unaloongea hasa kwenye red si kweli, tigo wanaspeed nzuri zaidi kwa udom kuliko mitandao mingine, tatito ni gharama.