dah, wameniharibia sana. nilikuwa nikiweka buku najua uhakika wa net 24hrs. tigob vipi internet yao? naona wana unlimited kwa 999.
Yaani kifurushi kapandish kwa 50% yaani kutoka
Tsh.1,000/= mpaka Tsh.1,500/= , na mbaya zaidi
sio ulimited bundle but simply 1GB bundle.
nyie vodacom ni jipu linalohitaji kutumbuliwa pwaaa.....
Njooni airtel mbona mnakuwa watumwa wa mtandao mmoja hivyo....
Kwa gharama za vifurushi vya Halotel na pia speed wana nafuu zaidi. Tatizo lao hawa Halotel ni upatikanaji wa vocha na wasipolifanyia kazi jambo hili basi litakuja kuwagharimu sana.Karibuni Halotel
::mvutaji: