Vodacom acheni 'ujambazi'

Vodacom acheni 'ujambazi'

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,411
Reaction score
16,770
Mpaka sasa tangu asubuh nimetumita 4000 na hakuna cha maana nlichofanya. Acheni ujambazi.

Rejesheni Uhuru Internet bundle. Nianeandika kwa hasira kubwa.
 
Njooni airtel mbona mnakuwa watumwa wa mtandao mmoja hivyo....
 
Hii yote ni kwa sababu ya magufuli. Mnakuja kuchagua watu wa ovyo mkamwacha lowassa. Mtaisoma namba sasa!

Magufuli ndiye mmiliki wa vodacom Tanzania? Fisadi Lowasa hana share vodacom Tanzania?
 
Hivi serikali haina mamlaka ya kuwasimamia hawa jamaa.!!

Cc. Magufuli.
Yaani kifurushi kapandish kwa 50% yaani kutoka
Tsh.1,000/= mpaka Tsh.1,500/= , na mbaya zaidi
sio ulimited bundle but simply 1GB bundle.
nyie vodacom ni jipu linalohitaji kutumbuliwa pwaaa.....
 
Last edited by a moderator:
Mimi nashindwa kuelewa uwekezaji wote uliofanywa kwenye sector ya mawasiliano lengo kuu ilikuwa ni kupunguza gharama but kila siku zinapanda.TCRA nao ni jibu ni wakati wao sasa kubana haya makampuni ya simu huu ni mwaka 2015 internet ni muhimu sana sio anasa. Naomba serikali ya awamu ya tano iangalie jinsi ya kupunguza hizi gharama za internet zinatumiza sana
 
Njoenii halotel jamn ckhz kuna compitition ya mitandaoo
 
Hakika nyinyi ni Jipu ! Mnakatia katia viuono vifurushi hovyohovyo...

Mpaka sasa tangu asubuh nimetumita 4000 na hakuna cha maana nlichofanya.
Acheni ujambazi.

Rejesheni Uhuru Internet bundle. Nianeandika kwa hasira kubwa.

wanakera hadi wanaboa....ki ukweli hata kama ni kudhibiti watumiaji wa mtandao ila voda wamezidi, ila usikonde karibu halotel japo nao ndo wale wale ila angalau tukipungua voda watajifunza kitu, huenda wataje ni wengi wanatufukuza makusudi
 
ni kweli mitandao yote ya simu hapa nchini ni majangiri wa kufa mtu na tena ni majipu sugu na kila kukicha wanatuibia, mfano voda walikuwa wa kwanza kupunguza vifurushi na kubadili mda wa ukaaji wa vifurushi haya yote ni matokeo ya Akina Makamba maana wanalinda hisa zao, na arifikiri atapewa tena wizara ya mawasiliano maana alituacha na mb 1 angerudi angetuacha na dk 0 kwa jero
 
Mim nimevunjavunja lain ya voda kwa hasira Mara ya kwanza waliniibia hela yangu nilihamisha kutoka M-PESA kwenda kwenye sim kama Salio wakakata hela yangu haikuingia pili mtandao wao umekuwa wa waaajabu ajabu hakuna network yaani ovyo kabisa nimehamia Halotel na Tigo nakula bata raja mstarehe
 
Back
Top Bottom