Ndugu wana jamvi la jamii forum, huu mtandao wa voda nakua namashaka nao jinsi siku zinavyosogea, walianzia CHEKA BOMBASTICK YA 900 kwa dk 60, wakatoa wakaweka cheka ya dk 25, sasa hv sh 500 unapewa dk 10, inamaana dk 1 sh 50. Huu ni wizi
Hivi TCRA siku hizi wako wapi?,kwani sasa hivi kinachoendelea kwenye Voda ni Ulaghai tu.Ukijiunga na vifurushi vyao na ukabakiza hela kwenye Simu basi hapo imekula kwako kwani hutaletewa ujumbe wa kuisha kwa kifurushi hadi hapo utakapo ulizia salio kwa sms.
Mkuu cheka ya 900 is temporary suspended nadhani kuna maboresho yanatakiwa kufanywa, tuwe tu watulivu wakati technicians wakifanya yao.
Kama unaweza nunua ile ya elfu 15 ya mwezi mzima sekunde 27000, sie tuna za staff elfu 15 sekunde 54000

We kimeo nini ...ivi unafikiri kila mtu anuwezo wa kununua iyo ya mwezi kwa mkupuo ...kibaya zaidi unatuambia mambo ya staff nini sijui .sasa hiyo inatuhusu vipi sisi wateja. Inaonyesha wewe ni kibarua wa voda unatuletea porojo zako hapa
Hatutakiwi kudhani, kama wana maboresho walipaswa kuwaeleza wateja what's going on. maelezo yako yamekaa kiushabiki mno lakini katika suala linalohitaji umakini
Mkuu cheka ya 900 is temporary suspended nadhani kuna maboresho yanatakiwa kufanywa, tuwe tu watulivu wakati technicians wakifanya yao.
Kama unaweza nunua ile ya elfu 15 ya mwezi mzima sekunde 27000, sie tuna za staff elfu 15 sekunde 54000
Dooh inabidi wajiangalie sana. Siku hizi wanaboa sana. Mwanzoni nilikuwa na line 2 zote za kwao. Walipozidi upuuzi wao nikaitupa moja nikaweka 071X. Nina mpango wa kuitupa na hii ya pili!
Ndugu wana jamvi la jamii forum, huu mtandao wa voda nakua namashaka nao jinsi siku zinavyosogea, walianzia CHEKA BOMBASTICK YA 900 kwa dk 60, wakatoa wakaweka cheka ya dk 25, sasa hv sh 500 unapewa dk 10, inamaana dk 1 sh 50. Huu ni wizi
Leo nimeshangaa na kukasirika zaidi niliponunua bundle ya 4200 nikapewa sekunde 6000 badala ya 8200.
Narudi kwa ndugu zangu wa HAKATWI MTU HAPA afadhali wao wana better deals