J julisa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 209 Reaction score 50 Mar 31, 2012 #1 Wataalamu naomba msaada kwa hiki suala kwani natumia cheka net ya siku na napata edge, lakini ikiisha na ikawa free charge basi inachange na kuwa 3G. Ni sawa au kuna setting inabidi nifanye?
Wataalamu naomba msaada kwa hiki suala kwani natumia cheka net ya siku na napata edge, lakini ikiisha na ikawa free charge basi inachange na kuwa 3G. Ni sawa au kuna setting inabidi nifanye?
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,007 Reaction score 1,259 Mar 31, 2012 #2 kuna setting inabidi ufanye.