Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 216
*dawa ya menoMbona hayo maandishi ya 4G kama vile yameandikwa na dawa ya mswaki
Iyo utakuwa umepigwa changa la macho maana voda bado hawajanZa kutoa line za 4G,campany ya mwisho kutoa 4G ni TTCL
Nimeswap pale mobile plaza kaka siyo uchochoroni kama unavyodhaniduuuh voda walivo na sifa hawawezi fanya kitu kimya kimya hiyo umeliwa mkuu itakuwa ume swap uchochoroni huko hahaha
Duuuh.....!!Mbona hayo maandishi ya 4G kama vile yameandikwa na dawa ya mswaki
Inaweza kuwa hivyo!!!Voda wanalunch 4G tarehe 17 mwezi huu.
**Siyo dawa ya meno, ni dawa ya kusafishia kinywa/meno, wakoloni/wazungu wanaita 'toothpaste'*dawa ya meno
Inaweza kuwa hivyo!!!
nadhani wameanza kusambaza line za 4G kwanza maana kila anayeswap vodashop anapewa hizo mpya
Ndiyo hizi zimeanza kutoka mkuuIyo utakuwa umepigwa changa la macho maana voda bado hawajanZa kutoa line za 4G,campany ya mwisho kutoa 4G ni TTCL
kwa band zipi??VODA WAMEANZA KUGAWA LINE ZA 4G LTEView attachment 344867
Wanabodi Jana nilienda kuswap line yangu ya voda, baada ya kupewa line mpya nikaitia mfukoni maana nilikuwa na majukumu mengi.
Nilipo pata mda ndiyo nikaiweka kwenye handset ila nilichogundua hii line ni tofauti na nyingine maana yenyewe ina rangi ya pink kama Halotel alafu imeandikwa 4G Lte.
Je hawa jamaa wamelaunch kimya kimya au.....!!
Maana sikupata muda kuwauliza pale service centre pia sina kifaa cha 4G
kwa band zipi??