robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,142
- 3,334
na gharama za m-pesa zimepanda kuanzia gharama za kutuma na kutoa. mf. kutuma 100,000 sio 650/= ni 800/=. ongezeko la 150/= kwa mtandao si haba MBAYA ZAIDI MAWAKALA HAWALIJUI HILO ONGEZEKO MAANA HAWAJAPEWA MABANGO (CHARTS).Mi natumia kuweka pesa tu