Mkuu unajiungaje hiyo nipe menyuUgomvi wa nini. Jaribu Airtel sh 1000 GB 2 kwa siku 3, dk 100 muda wa maongezi nk, meseji kibao.
Nenda mitandao mingine pia:
Halotel, TTCL, Tigo huenda kuna mazuri yake pia.
Bora voda mkuu,tigo ndo majangaAisee vodacom sasa hii imezidi, Jana nimejiunga 2GB nimestream video tatu tu youtube zenye urefu usiozidi dakika 30 naambiwa bundle limeisha.
Leo asubuhi nimejiunga 500MB nimeingia JF tu naambiwa "Low MB alert"
inaonekana mnaandika 2GB kumbe kiuhalisia ni 500MB,kama ndio hivyo kwanini mdanganye kama mmepunguza MB si mseme??
Tigo ndio balaa, MB 150 kwa 2000 kweli?
Sema inategemea mimi tigo nimejiunga kwa 2000 wamenipa 10gb kwa mwezi na eneo nililopo speed iko poa.Tigo ndio balaa, MB 150 kwa 2000 kweli?
For selected customers na baada ya kama week mbili hivi utatolewa kwenye list.Sema inategemea mimi tigo nimejiunga kwa 2000 wamenipa 10gb kwa mwezi na eneo nililopo speed iko poa.