Salaaam wakuu,
Kuna promotion inayotolewa na voda ambapo ukijiunga unatozwa sh 76(75) na unajiunga kwa kubonyeza *801*01*07*****#
Kuna rafiki yangu anaifaidi kila siku hii ofa lakini kwa upande wangu imeshindikana najibiwa network problem,not allowed etc.
Naombeni kujuzwa hii ofa ni kwa namba fulani fulani au line yangu ndo tatizo?
Salaaam wakuu,
Kuna promotion inayotolewa na voda ambapo ukijiunga unatozwa sh 76 na unajiunga kwa kubonyeza *801*01*07*****#
Kuna rafiki yangu anaifaidi kila siku hii ofa lakini kwa upande wangu imeshindikana najibiwa network problem,not allowed etc.
Naombeni kujuzwa hii ofa ni kwa namba fulani fulani au line yangu ndo tatizo?
Hii promotion nadhan si kwa kila mtu ni kwa baadhi ya namba, na kila namba ina njia yake ya kujiunga mimi najiunga kwa kupiga *803*1*07....... Mdogo wangu anajiungwa kwa kupga *803*1*07...... Na siwezi jiunga kwa njia ya mdogo wangu na watu wengi nishawapa wakajaribu haikubari
ili kutumia promotion hiyo lazima uwe ulitumiwa sms ya kukualifu kua kuna hiyo promotion kama hukutumiwa sifahamu kama utaweza kuitumia, pia ni Tsh.75/= sio Tsh.76/=
vumilia siku yako itafikaMimi ckuwahi kutumiwa sms yoyote na voda kuhusu hiyo promo,,itakua mie ambae cjatumiwa sms bado nipo kwenye foleni haina shida ntaendelea kusubiria
ili kutumia promotion hiyo lazima uwe ulitumiwa sms ya kukualifu kua kuna hiyo promotion kama hukutumiwa sifahamu kama utaweza kuitumia, pia ni Tsh.75/= sio Tsh.76/=
kweli ni 75 na sio 76. ila sikujua kuwa ni lazima utumiwe txt ni Voda, mi niliambiwa ni mshikaji wangu kuhusu about it nikajaribu wakaniambia nimejiunga. mwanzoni ilikuwa inaenda 24 hours, yaani ukijiunga saa tatu inaenda mpaka saa tatu ya kesho yake ndo wanakutumia SMS wanakuambia imekata ila naona siku hizi inakata saa sita ya usiku na ukiwa na msalio wanaunga moja kwa moja.
nafikiri hizi ofa za voda wanacheki na matumizi ya simu yako, coz miezi mitatu iliyopita kila mwisho wa mwezi voda wamenipa ofa za SMS unlimited kwa sh. 100 (mwezi wa kwanza ilikuwa sh. 75) na sio unlimited ni SMS 500 (ila kwa sh. 100, I cant complain :biggrin🙂 kwa masaa 24, while washikaji wangu wote ni mmoja tu alipewa hii ofa pale mwezi wa kumi, so yeah, nafikiri kuna jinsi wanaangalia hawatoi hizi ofa *special* kwa kila mtu
edit: aliyeniambia kapewa hiyto offer ni yule yule ambaye pia alikuwa amepewa offer ya SMS unlimited kama mimi..