Voda na ofa ya mwezi mtukufu!

Voda na ofa ya mwezi mtukufu!

James St. Patrick

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
167
Reaction score
66
Haya tena wale wateja wa voda kila ukiongeza sh 1000 ya pamoja unapewa sms 100, dakika 10 na 500 megabytes ambazo utatumia kuanzia saa 5 usiku hadi saa 12 alfajiri! Ni hayo tu wakuu!
 
Ofa gani hii! wenzao wanatoa Ofa za mida ya kawaida wao Voda ofa zao wanatufanya kama sisi wanga, zinaanziaga saa 5 usk
 
Haya tena wale wateja wa voda kila ukiongeza sh 1000 ya pamoja unapewa sms 100, dakika 10 na 500 megabytes ambazo utatumia kuanzia saa 5 usiku hadi saa 12 alfajiri! Ni hayo tu wakuu!
<br />
<br /
kalipie matangazo_acha ujanja ujanja wewe
 
Sielewi kwa nini ofa hiyo inahusu sh 1000 za pamoja tu na siyo sh 1000 za m-pesa.
 
Back
Top Bottom