mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,770
- 4,656
wamekopa mkuu wameenda kulizungushia kwenye biashara nadhani watakurudishiaVoda kweli wezi, mimi Kila nilipojaribu kuweka 1000, nikajiunga na bando la buku, wakajibu subiri confermation ilipo kuja kuwa huna salio; nilichoka. Siku nyingine nikaweka buku, sikupiga wala kupokea cm na msg, jioni sina salio hata 10.
Kama unatumia smartphone usiwalaumu voda, ulipaswa kuswitch off data kwanza ndipo uongeze salio. watz cjui tutaelimika lini!
Jiunge kifurushi cha bila kikomo.
We mtanzania uliyeelimika, siku-switch data off sawa; lakini inawezekanaje salio liishe wakati hata hiyo salio ama data sikuitumia kwa namna yoyote ile? Pia mda wa hiyo data kuisha ambayo ni saa24 ilikua bado? Inamaana ukiweka salio bila kujiunga ama kujiunga na bando inaweza kuisha bila kutumika na kabla ya wakati?
Mimi nimekuwa nikijiunga kifurushi bila kikomo lakini wanakukatia siku 5 kabla ya muda kuisha halafu wanakuambia ujiunge tena. Ukipiga simu kuwaambia customer service ni majuha tu!. Ukikazana wanakuambia wanaliwakilisha suala lako mbele utajibiwa ndani ya saa 24, imetoka. Hakuna kujibiwa na hakuna salio.
Vodacom ni washenzi sana!.
Vodacom ni wezi. Tuanzishe kampeni ya delete voda. Ni wezi hawa hakuna cha smartphone wala nini. Kwani smartphone zimeanza leo? Mbona zamani haikuwa hivyo?
Sorry, my phone writes only caps.
Umeongea kitu cha kweli, kama watumia smartphone, una-switch data off, ila nafikiri wana-take advantage mida fulani, sababu nimewahi tumia laini yangu kwenye comp (kwenye modem), siku-connect kwenye net, ila asubuhi nilikuta salio limenyofolewa! Imenitokea kama mara 3.
Kama unatumia smartphone usiwalaumu voda, ulipaswa kuswitch off data kwanza ndipo uongeze salio. watz cjui tutaelimika lini!