Voda kwa kubadili gia angani hatari sana

Voda kwa kubadili gia angani hatari sana

Nyie mnaolalamika gharama za internet TZ mkienda nchi za watu simu zitakuwa anasa kwenu. Afrika kusini tu wahitaji angalau 25,000/= ili ununue 1GB. Bahati mbaya hao tunaowalalamikia hawauzi internet yao.
Mkuu tambua tunazungumzia vodacom tz na sio mambo ya sauzi sio yakwetu.
 
Wakuu wa nchi habari zenu natumai mu wazima,aidha niwape pole kwa shughuri nzito za ujenzi wa taifa letu.Ndugu zangu nina malalamiko kuhusu mtandao wetu pendwa wa vodacom hawa jamaa nawakubali kwa speed yao ya intanet but now nafikiria kuwakimbia kabisaa nisirudi nyuma kwani wamezidi kutunyonya najua sina pa kupeleka malalamiko yangu nikaskizwa ila ni bora nijifariji na wanyonge wenzangu hapa jf cause naweza pata faraja tunatoa pesa nyingi vifurushi vidogo.Kama sasa ivi walikuwa na kifurushi chao cha 1000 unapata 1gb saa 24 jana tu nilipata hizo 1bg kwa buku leo nabonyeza menu yao ya *149*03# nakuta tofauti yani ni gb 10 kwa 10000 na ni wiki mpaka nikachoka nawaarifu nachukua maamuzi magumu naamia halotel jumatatu nasikia mpaka 4g wanayo.
Wew unajua leo mi mwezko nilitorok ktamb kwnda Halotel
Wako vzr kwnye mabando yao na kwa bei nafuu
 
unasubiri nn kuhama?nipo airtel.4G take mpaka chumbani.nilikuwa tigo.yaan ukitaka 4G.mpaka uende mtaa mwingine
 
Mm nlshaitupa zamaniiiii lain yao. Mbadala wao n halotel tu, sahz soko huria unang'ang'ania nn mtandao unaokuumiza?maisha yenyewe sahz n tait, hilo buku tu kulpata s mchezo alafu walchezee kirahs
 
Voda ndiyo wezi mara kumi kwanza ukiweka salio tu kabla hata ya kujiunga wao washaanza kukata wajinga sana.......nishatupa line yao.
Kabla y kuweka salio unatakiwa kuzima data, ukisha unga ndo uwashe
 
Halotel hawana mpinzani, vodacom wezi watupu na speed ya internet yao iko Dar es salaam tu tena katikati ya mji ambayo ni 4G. Na mikoa yenye 3g ni michache sana tofauti na halotel wenye internet yenye kasi nchi nzima na gharama nafuu kushinda wote labda wamfanyie fitina tu
 
Wakuu wa nchi habari zenu natumai mu wazima,aidha niwape pole kwa shughuri nzito za ujenzi wa taifa letu.Ndugu zangu nina malalamiko kuhusu mtandao wetu pendwa wa vodacom hawa jamaa nawakubali kwa speed yao ya intanet but now nafikiria kuwakimbia kabisaa nisirudi nyuma kwani wamezidi kutunyonya najua sina pa kupeleka malalamiko yangu nikaskizwa ila ni bora nijifariji na wanyonge wenzangu hapa jf cause naweza pata faraja tunatoa pesa nyingi vifurushi vidogo.Kama sasa ivi walikuwa na kifurushi chao cha 1000 unapata 1gb saa 24 jana tu nilipata hizo 1bg kwa buku leo nabonyeza menu yao ya *149*03# nakuta tofauti yani ni gb 10 kwa 10000 na ni wiki mpaka nikachoka nawaarifu nachukua maamuzi magumu naamia halotel jumatatu nasikia mpaka 4g wanayo.
mkuu mpaka leo huko voda unasubiri nini? njoo huku HALOTEL ule raha za dunia wewe......!!!!!!!
 
Voda wapuuzi kweli, wamejawa kiburi kwa sababu ya kuwa na wateja wengi, hapa ni kuwahama tu
 
Je kifurushi cha buku halotel unapata kiasi gani bundle ni mb au gb ili nikijua natupilia kule line ya Voda maana naona wananizingua wako poa sema gharama sana bundle zao vi mb vichache
 
Back
Top Bottom