TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 639 Reaction score 195 Mar 12, 2012 #1 Jamani sasahivi nimetuma neno Free Intrenet kwenda 15300 ghafula wakanipa 50MB sasa sijui wata ni lamba ni kiweka pesa coz ni sh.45 !!
Jamani sasahivi nimetuma neno Free Intrenet kwenda 15300 ghafula wakanipa 50MB sasa sijui wata ni lamba ni kiweka pesa coz ni sh.45 !!
Naby Keita JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 12,891 Reaction score 20,143 Mar 12, 2012 #2 TZ boy said: Jamani sasahivi nimetuma neno Free Intrenet kwenda 15300 ghafula wakanipa 50MB sasa sijui wata ni lamba ni kiweka pesa coz ni sh.45 !! Click to expand... hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata
TZ boy said: Jamani sasahivi nimetuma neno Free Intrenet kwenda 15300 ghafula wakanipa 50MB sasa sijui wata ni lamba ni kiweka pesa coz ni sh.45 !! Click to expand... hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Mar 12, 2012 #3 kejof2 said: hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata Click to expand... hakuzijua hizo ni mikwara..
kejof2 said: hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata Click to expand... hakuzijua hizo ni mikwara..
TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 639 Reaction score 195 Mar 12, 2012 Thread starter #4 kejof2 said: hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata Click to expand... nilikuwa cjui ngoja nidownload kwa nguvu!
kejof2 said: hiyo unaipata mara 1 tu haijirudii so kma kna wengne walishatumia hawawez kupata Click to expand... nilikuwa cjui ngoja nidownload kwa nguvu!
Zuia Sayayi JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 841 Reaction score 140 Mar 12, 2012 #5 Kufikia kesho huzikuti
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 512 Mar 12, 2012 #6 TZ boy said: nilikuwa cjui ngoja nidownload kwa nguvu! Click to expand... 50 MB unataka kudownload 'kwa nguvu'? Hahaha. Haya changamka mkuu. Hiyo ni ofa wala usiogope!
TZ boy said: nilikuwa cjui ngoja nidownload kwa nguvu! Click to expand... 50 MB unataka kudownload 'kwa nguvu'? Hahaha. Haya changamka mkuu. Hiyo ni ofa wala usiogope!
TZ boy JF-Expert Member Joined Jan 11, 2012 Posts 639 Reaction score 195 Mar 12, 2012 Thread starter #7 MwafrikaHalisi said: 50 MB unataka kudownload 'kwa nguvu'? Hahaha. Haya changamka mkuu. Hiyo ni ofa wala usiogope! Click to expand... poua mkuu!
MwafrikaHalisi said: 50 MB unataka kudownload 'kwa nguvu'? Hahaha. Haya changamka mkuu. Hiyo ni ofa wala usiogope! Click to expand... poua mkuu!
dottoz JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 1,510 Reaction score 881 Mar 13, 2012 #8 Hii ki2 ni kila cku unaunganisha pale inapoisha?