Vocha za airtel zinagoma kuingia

Vocha za airtel zinagoma kuingia

Rihana

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
498
Reaction score
250
Wakuu najaribu kuweka vocha airtel mbona zinakataa? Ni mimi tu au? Kila nikiweka inasema service timeout

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Wakuu najaribu kuweka vocha airtel mbona zinakataa? Ni mimi tu au? Kila nikiweka inasema service timeout

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Weka namba hapa tuone kama ziko valid.(do this at your own risk)
 
hata mimi tatizo nalipata.ujumbe wao wa kiswahili "tatizo halijajulikana."
 
serial no.710024645105 no.80531195905291 nimeinunua sasa hivi
 
Wakuu najaribu kuweka vocha airtel mbona zinakataa? Ni mimi tu au? Kila nikiweka inasema service timeout

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Kuna system yao ya billing inazingua... Yaani hata kucheki salio nako ni ishu... Nimekutana na hili la kucheki salio, nikamcheki jamaa hapo Airtel akanipa majibu hayo... Hata hivyo nimepata sms hii hapa toka airtel (at 11h40)......... Dear customer, We apologize for the inability to recharge due to technical challenges. Recharge via Airtel money and get a 25% bonus. Dial *150*60# .........
 
jamani mimi nimekwama porini nisaidieni airtel hawatoi huduma ya kueka vocha ama kujua salio! Hii ndio tanzania, hakunaga emergency,zimamoto wanafika eneo la tukio wakiwa hawana maji ya kuzima moto!
 
jamani mimi nimekwama porini nisaidieni airtel hawatoi huduma ya kueka vocha ama kujua salio! Hii ndio tanzania, hakunaga emergency,zimamoto wanafika eneo la tukio wakiwa hawana maji ya kuzima moto!
Mwenye airtel Money anaweza akakusaidia kwa kukuwekea toka kwenye airtel money..
 
Me ilikuwa jana wakanambia kwamb kwa mwanza kulikuwa kuna mitambo haikuwa iko poa wakaniahd afta 30min ...nikakaa muda kdogo nikaweka ikawa poa
 
haya ndo matatizo nimejaribu kuweka inagoma matokeo yake wananitumia sms ya kuniomba msamaha huku wananiambia ninunue vocha kwa kutumia huduma lao lile linalofanana na benk,wanafikiri kila mtu anaweka pesa kwenye hayo mahuduma yao yenye makato yasioeleweka,mamlaka ziko wapi?
 
Wakuu najaribu kuweka vocha airtel mbona zinakataa? Ni mimi tu au? Kila nikiweka inasema service timeout

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mbona wametuma sms kwa wateja kuomba radhi kwamba vocha haziingii kwasababu ya tech problem??
 
mtandao huu una shida sana halafu wanawakandia Tigo maskini na advert yao ya majumba.
Kumbe jamaa ndo vimeo kupindukia.
Too bad. Huko mbele tuuzage tu simu za card hizi tununuage satellite phones kwisha habari yake.
 
siku ya pili vocha haziingii wajameni kuna maujanja tofauti na airtel pesa?
 
Tunaishi maisha ya kubahatisha sasa, kila baada ya nusu saa ni kujaribu jaribu tu, mimi hat hizo msg za kujulishwa sijapata.
 
Back
Top Bottom