trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
- Thread starter
-
- #41
Vocha za airtel za 1000 ni nyepesi kuharibika, mi mwenyewe hapo majuzi nlikwangua ikaharibika, nikapiga huduma kwa wateja wakanambia niende kwa mawakala ndo wanisaidie. Wakati swala ni kutaja serial number mchezo unaisha. Sidhani kama hawa jamaa wanatujali wateja!
vocha za kisenge watengenezaji mafala
vocha za kisenge watengenezaji mafala
Mimi nachokiona hapa ni ukosefu wa uadilifu toka Airtel. Hata mimi wamewahi kuniambia kichefuchefu cha namna hiyo, niende kwenye tawi lililo karibu. Hivi naweza kweli kupanda daladala toka kimara mpk mlimani city kuchukua 1000? Mbona jambo kama hilo hilo zamani lilikuwa linasolviwa kwa kutuma zile serial numbers, wakaangalia kama haijatumika then ukawekewa direct kwenye simu yako. Imekuwaje leo? Na kwa nini wamebadili material ya kufunika zile codes?
Huna cha kuchangia nyamaza kimya, si lazima kutukana.
kumbe tuko wengi? Nami pia niliwahi kwangua hiyo vocha vibaya ikaharibika nikawapigia wakaniambia niende kwenye vituo vyao baada ya kunigomea kuingia. Nikaiweka nikisema siku nikipita mlimani city nitaenda hapo. Baada ya wk 3 hivi nikiwa na muuza vocha nikamueleza, akaichukua na kuingiza namba ktk simu yangu, ikakubali!
Mkuu kuna watu wa ajabu ambao hautajua wamepata malezi ya aina gani,au wamekulia katika mazingira gani...
Vocha za airtel za 1000 ni nyepesi kuharibika, mi mwenyewe hapo majuzi nlikwangua ikaharibika, nikapiga huduma kwa wateja wakanambia niende kwa mawakala ndo wanisaidie. Wakati swala ni kutaja serial number mchezo unaisha. Sidhani kama hawa jamaa wanatujali wateja!
ni kweli!imenitokea mara kadhaa na nyingine ninayo hapa inazagaa ktk waleti!wanaoweza kubahatisha kazi kwenu
***1 0843 8470 22
Hawawezi kukuwekea credit kwa kuangalia serial number kama serial number iko wazi, unaweza ukachukua bunda la vocha dukani ukarekodi serial number zote bila kuzikwangua, ukadai wakujazie. Plus access ya serial number / secret namba wanazo watu wachache sana kwa sababu za kiusalama.
Kwangueni kwa utaratibu jamani.
Jamani. Kama mlikuwa na mimi.Yamenitokea leo asubuhi. Sina cha kufanya na hizi vocha za 1000 tena.
Kumbe tuko wengi wakuu,na mimi imeshanitokea karibu mara nne,na ni kwa vocha za airtel na tigo,sijui ni ukosefu wa bora ktk utengenezaji au nini!mbaya zaidi mashirika yote hayo yanashindwa kutoa msaada kwa kupitia simu za custome care na kutaka uende kwy ofisi zao,what a shame!