Just a simple question,what happened when Russians were fighting in Afghanistan?
Unapozungumzia Vita ifuatilie ilikuwa ni vita ya aina gani kuna vita vya uwanja wa mapambano na kuna vita vya kupigana na watu waliovaa kiraia na kuna vita vya uvamizi...
Vita vya Kivamizi ndio anayozungumzia Puti yaani unatumia silaha yoyote ile uliyonayo na huchagui pa kupiga yaani kote kote hadi ushindi upatikane...
Vita vya Russia na Afghanstan ilikuwa ni vita vya gollilah war yaani hujii unayepigana naye na ukipiga unaambiwa umeua raia na ukiwaacha wanakuua wewe... rubbish war
ni sawa na Israel anavyopigana na Hezibollah au Hamas... jamaa wamebeba Bunduki na makombora wamevaa kiraia wakiuliwa jamaa wanaita media wanaonesha umeua raia Dunia nzima inatoa macho na kukuonya... stupid war
Vita anayozungumzia Putin ni kama ile ya Dunia aliyopigana Germany alikuwa anapiga makao makuu ya Jeshi,Bank kuu,5star Hotel viwanja vya mpira,Makanisa,Misikiti shule za watoto makaburi yaani kila kitu ndani ya vita....Maangamizi tu
Vita Anavyopigana Mmarekani anatizama na uwezo wako ukisumbua unakula Ataomic anaangamiza mji baada ya Mji yani Bomu moja Dar, Pwani na Unguja Nzima kwa Wakati Mmoja... Vita hii Marenaki anao uwezo na Mrusi pia anao so mrusi anavyomaanisha anao uwezo na makombora ya kutosha kuyarusha kwa wakati mmoja kwenda uelekeo wa Majimbo ya Marekani yote akimaanisha muda wa maangamizi ni ndani ya hizo Dakika yanapokuwa angani na yanapotua mchezo umeisha...
Na Marekani uwezo wa kuyazuia anao ila madhara yanakuwa tayari yametokea baadhi ya sehemu au zaidi... kiufupi waote wana uwezo ila yaweza kuwa ndio ukawa mwisho wao wa kutamba Duniani...