Vladmir Putin said: He Could Destroy America In A Half-Hour

Watu wengine mnafurahisha kweli, kwahiyo wewe mwafrika mwenzangu ndo una uwezo wa kuijua vizuri Marekani

kuliko warusi?
Mkuu umemwambia maneno mazito sana ambayo kwa akili ya kawaida hawezi kuyaelewa. Unajua vijana hawa wamebugia propaganda za West.Wanadhani Russia ni kama IRAKI ya Saddam Husein, au Russia ni kama WATALABAN wa Mullah Omar wa Afghanistan.Ambao kote huko USA hakwenda peke yake,alienda na washirika wake.Hata mimi siwezi kusema kuwa Russia inaweza kuishinda USA wala USA inaweza kuishinda Russia.Hawa jamaa kila mmoja ana uwezo fulani dhidi ya mwenzie na pia ana weakness fulani kazidiwa na mwenzie na wao wanalijua hilo na wanajuana.Mimi mnyantuzu siwezi kujua nguvu ya jeshi la USA kuliko Russians au nguvu ya Russians kuliko Americans.Umeongea vizuri sana mkuu.
 
nao hawa wanataka kuleta ligi kama simba na yanga na huyo mze putin nae anataka kuwa mulopokaji tu asijue anacho kiongea
Ndugu Unasema Putin Hajui anachoongea? kweli sisi waafrika tuna mambo.Unajua kuwa kwa mujibu wa jarida la FOBES la USA Puttin ndio rais maarufu na mwenye akili nyingi kwa miaka kadhaa mfululizo kuliko Bush na Obama?
 
Just a simple question,what happened when Russians were fighting in Afghanistan?
RUSSIA iliikalia Afghanistan kwa miaka 10 1979 hadi 1989.Ki ukweli ilijikuta ikipigana na taifa la Afghan lililokua likisaidiwa na maadui wote wa URUSI ambao wewe unawajua akiwemo USA na washirika wake.Warusi waliondoka kule baada ya mageuzi ya kisiasa na kiuchumi ya PERESTROIKA na GLASNOST.Ikumbukwe Marekani iliwapa WAAFGHAN silaha na mafunzo.
 
Mkuu umemwambia maneno mazito sana ambayo kwa akili ya kawaida hawezi kuyaelewa. Unajua vijana hawa wamebugia propaganda za West.Wanadhani Russia ni kama IRAKI ya Saddam Husein, au Russia ni kama WATALABAN wa Mullah Omar wa Afghanistan.Ambao kote huko USA hakwenda peke yake,alienda na washirika wake.Hata mimi siwezi kusema kuwa Russia inaweza kuishinda USA wala USA inaweza kuishinda Russia.Hawa jamaa kila mmoja ana uwezo fulani dhidi ya mwenzie na pia ana weakness fulani kazidiwa na mwenzie na wao wanalijua hilo na wanajuana.Mimi mnyantuzu siwezi kujua nguvu ya jeshi la USA kuliko Russians au nguvu ya Russians kuliko Americans.Umeongea vizuri sana mkuu.

Ni kweli mkuu, tatizo la hapa wanaongea vitu kiushabiki bila kujua ukweli wa mambo ambao sisi dunia ya tatu ni vigumu kuujua. Haina haja ya kubishana hapa wakati hao watu malengo yao ni mamoja. Hata ukimshabikia USA hatakusaidia kukuinua, vilvevile kwa Russia hawezi kukuinua.
 
Just a simple question,what happened when Russians were fighting in Afghanistan?[/

QUOTE]

Sasa na mimi naomba nikuulize swali dogo Tunatambua kua Americans ndio world military superpower kwa nini hua haendi vitani peke yake tena kupigana na nchi ndogo tu kama Iraki na vikundi vya watu binafsi kana Taliban na Alqaeda vinavyomilikiwa watu kama Osama na Mullah.Ni lazima ashinikize washirika wake wamsindikize.
 
One thing I hate about western medias propaganda is that they always take Putin speech out of context, infact changing almost 80% of the speech claiming Putin is a threat and Russia should be isolated insisting to America citizens they are not safe.This is all to trick Americans to allow its govt to continue its war- mongering agenda.

Any sensible human being is very much aware of US vicious fantasy of hegemony but that becomes impossible because Russia.Russia is a super Nuclear Power.

If this two countries get into war Iam sure we will all cease to exist,I believe many Russians will survive because of underground built protected systems(for its citizens) incase of any war.

Last year there was one Italian Newspaper which wrote"Putin said he can take UKraine just in a week"infact the newspaper later apologized.Always taking Putin speech out of context,stupid medias.

Accusations of the West towards Putin are traditionally based on the fact that he worked in the KGB. And therefore he is a cruel and immoral person. Putin is blamed for everything. But nobody ever accused Putin of the lack of intelligence.Putin is very intelligent.

Any accusations against this man only emphasize his ability for quick analytical thinking and making clear and balanced political and economic decisions.
Putin is a Grandmaster.

In deed he's a Master, and to be honest only Russia can @#‰ Americans
 
Ndugu Unasema Putin Hajui anachoongea? kweli sisi waafrika tuna mambo.Unajua kuwa kwa mujibu wa jarida la FOBES la USA Puttin ndio rais maarufu na mwenye akili nyingi kwa miaka kadhaa mfululizo kuliko Bush na Obama?

Mkuu unaweza tupa link??
 
Just a simple question,what happened when Russians were fighting in Afghanistan?[/

QUOTE]

Sasa na mimi naomba nikuulize swali dogo Tunatambua kua Americans ndio world military superpower kwa nini hua haendi vitani peke yake tena kupigana na nchi ndogo tu kama Iraki na vikundi vya watu binafsi kana Taliban na Alqaeda vinavyomilikiwa watu kama Osama na Mullah.Ni lazima ashinikize washirika wake wamsindikize.

Aende peke yake ili raisi aende Hague!! Vita baridi hii haijaanza leo,hawa jamaa hawatakuja pigana mpaka mwisho wa dunia.
 
Mkuu umemwambia maneno mazito sana ambayo kwa akili ya kawaida hawezi kuyaelewa. Unajua vijana hawa wamebugia propaganda za West.Wanadhani Russia ni kama IRAKI ya Saddam Husein, au Russia ni kama WATALABAN wa Mullah Omar wa Afghanistan.Ambao kote huko USA hakwenda peke yake,alienda na washirika wake.Hata mimi siwezi kusema kuwa Russia inaweza kuishinda USA wala USA inaweza kuishinda Russia.Hawa jamaa kila mmoja ana uwezo fulani dhidi ya mwenzie na pia ana weakness fulani kazidiwa na mwenzie na wao wanalijua hilo na wanajuana.Mimi mnyantuzu siwezi kujua nguvu ya jeshi la USA kuliko Russians au nguvu ya Russians kuliko Americans.Umeongea vizuri sana mkuu.

Ndugu Unasema Putin Hajui anachoongea? kweli sisi waafrika tuna mambo.Unajua kuwa kwa mujibu wa jarida la FOBES la USA Puttin ndio rais maarufu na mwenye akili nyingi kwa miaka kadhaa mfululizo kuliko Bush na Obama?

Wewe unaita watu washabiki wakati we ndo shibiki wa kutupwa wa russia, umesema watu wamebugia propaganda za west afu hapohapo unatuambia forbes imesema putin ndo rais maarufu kwa hiyo forbes sio ya west?! Kwa wewe news ikiwa negative kwa putin na unaowashabikia ni propaganda ikiwa positive kwa putin na unaowashabikia ni sawa hadi unatumia kama reference hapa! Ni vigumu sana kuficha unazi asee!
 
Back
Top Bottom