Vladmir Putin ni zaidi ya Chuck Norris

Vladmir Putin ni zaidi ya Chuck Norris

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
775
Russian president Vladimir Putin has been awarded the highest rank in taekwondo, giving him honorary grandmaster status.

It means the president has attained a higher ranking than former US martial artist Chuck Norris. The actor has an eight-degree black belt, while Mr Putin has a ninth-degree.

The president does not practice taekwondo, but holds a black belt in Judo and has been awarded an eighth Dan in the martial art by the International Judo Federation.

putin.jpg

Soma hapa:Vladimir Putin officially tougher than Chuck Norris after being awarded highest rank in Taekwondo | Mail Online

haogopwii..!akileta fyoko analipuliwa tuu..!USA FORCE
 
Russian president Vladimir Putin has been awarded the highest rank in taekwondo, giving him honorary grandmaster status.

It means the president has attained a higher ranking than former US martial artist Chuck Norris. The actor has an eight-degree black belt, while Mr Putin has a ninth-degree.

The president does not practice taekwondo, but holds a black belt in Judo and has been awarded an eighth Dan in the martial art by the International Judo Federation.

View attachment 121151

Soma hapa:Vladimir Putin officially tougher than Chuck Norris after being awarded highest rank in Taekwondo | Mail Online

Wanampa tu pengine kama honorary kwa sababu ya cheo chake kisiasa. Hivi wewe unacheza na Chuck Morris kabisa ndugu yangu? Au unamu-judge kupitia maigizo ya picha zake \za sasa ambapo ameshazeeka? Chuck Norris achana naye kabisa ndugu yangu
 
Waambie linapokuja suala la martial art ,Chuck Noris,Billy Blank,Sho Kosugi ,Jet Lee.Bruce ,Cynthia Rothroc,Edie Murphy(Though ana act comedy /drama nyingi)Steven Seagal hawaigizi tu bali wanaishi maisha hayo!
 
Hata hivyo Putin yuko fit. Na inasemekana ni jasusi la kutupwa. Baada ya Michael Gorbachev(spelling sina uhakika google) kupandikizwa na Marekani ambapo walifanikiwa kuisambaratisha USSR ile ya zamani, USSR hii ya sasa iko makini, wanahakikisha rais wao lazima awe jasusi kama huyu Putin ni KGB! Shirika la ujasusi la Urusi!
 
Hiyo usijali , jua kitu kimoja tu ujasusi zaidi ni fani ya kipelelezi kinyume cha taratibu,(ndio maana wanatakia wajue kujihami) akina Noris wao kujihami ndio fani yao!
 
Hata hivyo Putin yuko fit. Na inasemekana ni jasusi la kutupwa. Baada ya Michael Gorbachev(spelling sina uhakika google) kupandikizwa na Marekani ambapo walifanikiwa kuisambaratisha USSR ile ya zamani, USSR hii ya sasa iko makini, wanahakikisha rais wao lazima awe jasusi kama huyu Putin ni KGB! Shirika la ujasusi la Urusi!

Usisikilize sana story za vijiwen mdgo wangu.. Mbona Medved sio jasusi na ndo katoka juzi kumpisha Putin.
Putin yuko vzur kweli ila anapenda publicity mwaka flan wakat wa kampen za urais akaenda kurusha Sukhoi waandishi wote wakaacha publicty ya rival wake wakaenda kumpiga picha jamaa anavoizungusha sukhoi hewan.. Benjamin Netanyahu na Ehud Barak wako vzur sana kwenye haya mambo lakini huwez sikia public announcement kama hizi.
 
Putin cha mtoto kwa Ben na Jei Kei achilia mbali kuu la maadui Mzee Ruksa ukimgusa tu anakutoa utumbo
 
Nileteeni nimuonyeshe kazi ila za kwenye chembe "po"
 
kuna watabe zaidi yake, sema jamaa ana publicity
 
Waambie linapokuja suala la martial art ,Chuck Noris,Billy Blank,Sho Kosugi ,Jet Lee.Bruce ,Cynthia Rothroc,Edie Murphy(Though ana act comedy /drama nyingi)Steven Seagal hawaigizi tu bali wanaishi maisha hayo!
Msichanganye mambo ya uraiani na majasusi waliokubuhu kama Putin
 
Usisikilize sana story za vijiwen mdgo wangu.. Mbona Medved sio jasusi na ndo katoka juzi kumpisha Putin.
Putin yuko vzur kweli ila anapenda publicity mwaka flan wakat wa kampen za urais akaenda kurusha Sukhoi waandishi wote wakaacha publicty ya rival wake wakaenda kumpiga picha jamaa anavoizungusha sukhoi hewan.. Benjamin Netanyahu na Ehud Barak wako vzur sana kwenye haya mambo lakini huwez sikia public announcement kama hizi.

Nahisi umesahau kidogo kaka! Wakati Medvedv anachukua urais, Putin akawa Waziri mkuu wake. Iliushangaza ulimwengu kuwa waziri mkuu alikuwa na power kuliko Rais, ndipo mijadala na wachambuzi wa siasa za kimataifa walikubaliana kuwa kwa sasa Russia iko makini sana, kwamba mfumo wa utawala lazima watu wa juu wawe na utaalam wa Intelijensia, na ndicho wanachofanya siku hizi.
 
Hapa nachosema mimi Medved sio mtu wa Intelijensia period! na ndio alikua Rais wa Russia huyu bwana ni mwanasheria (corporate) na akajajiingiza kwenye siasa huu utaratibu km upo lazima uwe coded bas tuwekee hapa kama ni kwenye katiba au chochote. Vijiwen kuna story nying wanasemaga ata pale ikulu kuna handaki linatokea kigamboni ila hakuna aliyeliona na anakusimulia hivyo anabishana mpka mishipa ya shingo inamtoka...
 
Putini yuko fiti sana ndo pekee urusi anawezea fani nyingi, kurusha ndege za kivita, kuendesha meli za kivita, vifaru, nyambizi za kivita, magari maalumu ya kurushia makombola na ana uwezo wa kuongea rugha si chini ya sita,kijerumani, kifaransa, kitaliano, kireno, kihispania, kingereza
 
Haitatokea binadamu kama Bruce lee ktk martial artist.

Bruce lee ndio mfalme kama Pele kwenye soka.
 
Back
Top Bottom