Vladmir Putin hawamuwezi kwa pose!!

Vladmir Putin hawamuwezi kwa pose!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
Putin on the style! Russian premier poses for his latest action shots diving and fishing (without his shirt obviously) on Siberian holiday
42FA364200000578-0-image-a-36_1501891049474.jpg


Putin, a former KGB agent, kwa show off za umwamba tu. hajambo!!!
 

Attachments

  • upload_2017-8-5_9-50-22.gif
    upload_2017-8-5_9-50-22.gif
    42 bytes · Views: 52
Hamuwezi wa kwetu, alipiga push up, kaendesha basi la mwendo kasi na zaidi ya yote hapangiwi na mtu yeye ndio raisi. 'Katika utawara wangu' - in his voice.
 
Hamuwezi wa kwetu, alipiga push up, kaendesha basi la mwendo kasi na zaidi ya yote hapangiwi na mtu yeye ndio raisi. 'Katika utwara wangu' - in his voice.
Du..
Watu mna maneno!!
 
Kuna umwamba gani hapo; mtu mwenyewe amezungukwa na makomandoo na rada toka pande zote zinammulika asije akaibwa. Kwa utaratibu huo hiyo "show off" hata mtoto angeipiga.
Hahahahahahah
 
Back
Top Bottom